Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

Uwe na lombogini halafu uwe maskini etπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mtani wangu siku hizi anatuona ma,,,,ko.

Huwezi nielewa mpaka uyapate yote hayo.
Mtu mwenye gari na asiye na gari wote ni sawasawa kama wote wanapata basic needs. Sijui kama unaelewa hilo.
 
Narudia tena! Hatuna formula ya mtu kuwa tajiri. Matajiri ni watu wa kawaida wengine Wana hizi sifa, huwezi jua foundation ya utajiri alionao umetokea wapi, Kuna vyanzo vingi mfano kurithi, bahati, fursa.....n.k

A good life is about finding peace and freedom not just being rich.
 
Unapokuwa mvivu wa kufikiri unapelekea wenye akili wautumie mwili wako kukutumikisha na kukilipa malipo kidogo Kwa sababu ya akili yako kuwa legelege.
 
Je, hii falsafa inaingia mpaka "criticism" za wananchi kwa wanasiasa au?

Hebu ifafanue vizuri kwa muktadha wa kisiasa
Je, hii falsafa inaingia mpaka "criticism" za wananchi kwa wanasiasa au?

Hebu ifafanue vizuri kwa muktadha wa kisiasa kwa kufata points zako ulizotumia hapo 1, 2, 3, 4 na 5.

Pia ningeomba ufafanue, "mtu tajiri" ni yupi, kwa muktadha wa mali, je ianzie kiasi gani?

Na utuelezee sifa za mtu tajiri.
 
Je, hii falsafa inaingia mpaka "criticism" za wananchi kwa wanasiasa au?

Yeah! Kila falsafa ina criticism na ni muhimu kuwa ma criticisms ili kuchochea uzalishaji wa Falsafa zingine.
Falsafa ndiye Baba wa Sayansi

Nitakuja na Uzi mwingine kueleza hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…