Hiyo ya kupenda sifa inaonekana imegusa wengi, lakini ni tabia ya binadamu ya asili kupenda kukubalika. Labda kama wanyakyusa hawajaificha kama wengine wanaojifanya wanachukulia poa lakini moyoni wanataka sifawanapenda sifa sana
Hao wachuna ngozi ni wanyiha watu wa mbozimbona ujamalizia kuwa wachuna ngozi pia..
Hata chui akionewa, basi atetewe.
Kuchuna ngozi sio sifa ya Wanyakyusa.
Kwa ujumla wanyakyusa si makatili...ni Wakarimu sana.
Wanaochuna ngozi ni kabila kutoka Wilaya ya Mbozi, wanaitwa Wanyiha, a.k.a akina "Tumgoje...Tumleshe"
hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
Bujibuji na ladyfurahia mnaitwa huku!
Bujibuji na ladyfurahia mnaitwa huku!
Ni kweli kabisa.Mgawanyiko wa Wanyakyusa
Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela
1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii
Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu
1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru
Update the source, ila mi navojua sio watu wa kujivunga kama anakutaka anakukubali tu we unamtongoza ili iweje.wanawake wa kinyakyusa ni maharage ya mbeya. mbona hii sifa haimo mkuu
kupiga nondo ni wa wapi hao?
Hakuna aonaye moyoni mwa mtu, hapo ni sifa za nje tu. Ya moyoni achia MUNGU tuHawa watu ni wakarimu machoni/ mbele za watu
ila mioyo yao haipo hivo wana roho mbaya sana na hutumia dini kama mwamvuli.
wanawake wa kinyakyusa ni maharage ya mbeya. mbona hii sifa haimo mkuu
sasa wanyakyusa wa kiume kwenye mapenziii ndio div 5 kabisaa yaan wanapenda kuabudia hao mmh yaan ni amriii tu umuite baba baba ebooo!
Hakuna aonaye moyoni mwa mtu, hapo ni sifa za nje tu. Ya moyoni achia MUNGU tu