Mgawanyiko wa Wanyakyusa
Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya
mazingira wengi wao wakakimbilia
Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela
1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha
Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi
dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata
digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana
wivu katika masuala ya
mapenzi
8. Wanapenda
haki itendeke, hawapendi
ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii
Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu
1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye
kazi, hasa
kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia
Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru