Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Hata chui akionewa, basi atetewe.
Kuchuna ngozi sio sifa ya Wanyakyusa.
Kwa ujumla wanyakyusa si makatili...ni Wakarimu sana.

Wanaochuna ngozi ni kabila kutoka Wilaya ya Mbozi, wanaitwa Wanyiha, a.k.a akina "Tumgoje...Tumleshe"

hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
 
Mgawanyiko wa Wanyakyusa

Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela

1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii

Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu

1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru
Ni kweli kabisa.
 
wanawake wa kinyakyusa ni maharage ya mbeya. mbona hii sifa haimo mkuu
 
sasa wanyakyusa wa kiume kwenye mapenziii ndio div 5 kabisaa yaan wanapenda kuabudia hao mmh yaan ni amriii tu umuite baba baba ebooo!
 
Back
Top Bottom