bora umeshtuka maana PesaNdogo kaweka sifa tupu, kasoro hajaziweka na amesifia eti kwa mapenzi ni wapole.ninaitwa na nani na kuhusu hilo kabila sio kabila langu
mm ni mndengereko sasa nao wanyakyusa wapi na wapi best
mnitue kabisa huko
sasa wanyakyusa wa kiume kwenye mapenziii ndio div 5 kabisaa yaan wanapenda kuabudia hao mmh yaan ni amriii tu umuite baba baba ebooo!
jaman mbona mnakuwa wagumu kuelewa, hiyo ni article inaelezea sifa za wanyakyusa na source nimeiweka na uzuri Wikipedia wanaruhusu maoni ya kuedit. Inawezekana zilizoandikwa ni za wanyakyusa wa zamani mi sijui au ndo za miaka yote mi cjui na sijatia neno ni hivyo hivyo ilivoandikwa.bora umeshtuka maana PesaNdogo kaweka sifa tupu, kasoro hajaziweka na amesifia eti kwa mapenzi ni wapole.
angemalizia Jando huwa hawaendi kwani kupunguza kiungo chochote ni dhambi
hii ni tofauti na Mndengereka yeye hana niangusage
Wanyakyusa siku ya Msiba km umeoa huko na wewe sio kabila lako hutamuona ila................. na na hii ni sawa na wakati wa ngoma za Kindentgereko/Kizaramo za usiku mkeo huta............
Wanyakyusa wa kyela wanaongoza kwa dharau na uhuni
Kuchuna ngoz tena jamani
hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
Hawa watu ni wakarimu machoni/ mbele za watu
ila mioyo yao haipo hivo wana roho mbaya sana na hutumia dini kama mwamvuli.
sasa wanyakyusa wa kiume kwenye mapenziii ndio div 5 kabisaa yaan wanapenda kuabudia hao mmh yaan ni amriii tu umuite baba baba ebooo!
Isyo syosa sya naloli nkamu!
Mgawanyiko wa Wanyakyusa
Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela
1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii
Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu
1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanyakuyusa wanajulukana sana kwa tabia ya ubaguzi na kupenda misifa..
Mbona hujaweka???
pole sana ila huo ndo ukweli nimeishi nao weeeengi sana hawa....daaaaaaaaaaaaaaah_hii imenichosha sana
pole sana ila huo ndo ukweli nimeishi nao weeeengi sana hawa....
Mimi hapa ni mnyakyusa!!Nilishasikia sana hizi sifa za wanyakyusa,,, nina bahati mbaya sana sijawahi hata kutongozwa na hio kabila.