Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

ninaitwa na nani na kuhusu hilo kabila sio kabila langu
mm ni mndengereko sasa nao wanyakyusa wapi na wapi best
mnitue kabisa huko
bora umeshtuka maana PesaNdogo kaweka sifa tupu, kasoro hajaziweka na amesifia eti kwa mapenzi ni wapole.
angemalizia Jando huwa hawaendi kwani kupunguza kiungo chochote ni dhambi
hii ni tofauti na Mndengereka yeye hana niangusage
Wanyakyusa siku ya Msiba km umeoa huko na wewe sio kabila lako hutamuona ila................. na na hii ni sawa na wakati wa ngoma za Kindengereko/Kizaramo za usiku mkeo huta............
 
Last edited by a moderator:
Sijajua hawa wanyakyusa wa Tukuyu, ila wa Kyela uliyongea yote ni ya ukweli mim nimeishi kule zaidi ya miaka miwili, ni wa karimu mno na wachapa kazi pia, ila wanapenda starehe pia, ila hiyo ni kawaida kwa binadamu "Twaleno"
 
hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
Ninae bana!... IGWE!!
Naomba kuuliza...Samahani lakini...Just in case....Hivi kwani mimi binafsi ndo nimechoka saaaaana au?
 
Last edited by a moderator:
sasa wanyakyusa wa kiume kwenye mapenziii ndio div 5 kabisaa yaan wanapenda kuabudia hao mmh yaan ni amriii tu umuite baba baba ebooo!

Nafkiri wanawake wakinyaki ndio wanapenda kuita wanaume hivyo, sasa sjui kwasababu ya hao waume zao
 
bora umeshtuka maana PesaNdogo kaweka sifa tupu, kasoro hajaziweka na amesifia eti kwa mapenzi ni wapole.
angemalizia Jando huwa hawaendi kwani kupunguza kiungo chochote ni dhambi
hii ni tofauti na Mndengereka yeye hana niangusage
Wanyakyusa siku ya Msiba km umeoa huko na wewe sio kabila lako hutamuona ila................. na na hii ni sawa na wakati wa ngoma za Kindentgereko/Kizaramo za usiku mkeo huta............
jaman mbona mnakuwa wagumu kuelewa, hiyo ni article inaelezea sifa za wanyakyusa na source nimeiweka na uzuri Wikipedia wanaruhusu maoni ya kuedit. Inawezekana zilizoandikwa ni za wanyakyusa wa zamani mi sijui au ndo za miaka yote mi cjui na sijatia neno ni hivyo hivyo ilivoandikwa.
 
Last edited by a moderator:
Mgawanyiko wa Wanyakyusa

Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela

1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii

Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu

1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanyakyusa wa Kyela na WAKOROFI/washari!
 
Nilishasikia sana hizi sifa za wanyakyusa,,, nina bahati mbaya sana sijawahi hata kutongozwa na hio kabila.
 
Mimi ninachojua kwa wadada wengi wana BASTOLA na INYE ya kutosha
 
Back
Top Bottom