Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Mbeya City stand up....! Sifa zote ni kweli sema wapinzani kila kona wametapakaa.
 
Wanyakyusa Upande Wa Tanzania Yan Ng'ambo Ya Mto Songwe Na Wangonde Uko Malawi Kusin Mwa Mto Songwe.Lakn Kwa Jadi Waite Wangonde/wankonde/wasokile,ndo Maana Kanisa La Kilutheri Dayosis Ya Unyakyusa Kyela Na Rungwe Inaitwa Dayosis Ya Konde(unyakyusan),kuna Wanyakyusa Wa Kyela (bhatembela,ngonde) Na Rungwe-mwamba(abha-selya,bhakukwe,abha-masoko,masebhe,abha-ngumba Na Bhusokelo),
 
Tunapenda pombe sana..
tunajua kuimba na kumtukuza mungu
-ukituwekea saa ya gold feki na silver original, tutachukua hiyo ya gold...( dont ask y):A S wink:
 
quote_icon.png
By PesaNdogo
Mgawanyiko wa Wanyakyusa

Wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa Nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa Wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni Wanyakyusa wa Tukuyu na Wanyakyusa wa Kyela.
Sifa za Wanyakyusa wa Kyela

1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii

Sifa za Wanyakyusa wa Tukuyu

1. Wapole
2. Wacha Mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu

Mawenzi, IGWE and ladyfurahia like this.

apo kwenye red si kweli wengi ni wabaguzi kama si mnyakyusa wanakubagua usiombe uwe na bosi mnyakyusa kwanza anawajaza ofsni dn anawapa upendeleo bila vgezo bora wachaga wanabeba mwenzao mwenye vgezo na akshaingia kazin kumantain kazi ni jukumu lake mfano ofsn kwangu ni bosi mnyakyusa nataman nimchape bastola sku si nyingi ni kamama kapuuz sana
 
Hilo jina (ID) ni la pale mteremkoni; Iwambi - Mbalizi kwenye bango la Vodacom?
Madada zetu hawana nongwa na mtu lkn lzm wakujue unapotoka;Kwa mgeni atakusumbua siku angalau 2 ndiyo aje gheto kwako ahahaha

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Wewe unakuwa "njanga"

Back
Top Bottom