Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Wana dharau sana watu wengine wasio wanyakyusa Hii ipo sana kwa wanyakyusa wa kyela ambapo wamefikia hatua watoto wa kike wa kyela hawawezi kuzaa na mgeni ww kama ni mgeni una demu wa kyela utaishia kula raha tu ila suala la mimba halipo

Dada yangu hawezi zaa na "NSENJI' bana!Hata mwanamme wa Kinyakyusa hawezi zaa na dada"ntuta" otherwise unless mmekutania nje ya Kyela ahahaha!
 
Babuji umeongea kitu, pia wana misiba mingi kuliko muda wa kufanya kazi na usipoenda msibani hata kama ni wa mtoto wa shangazi yake na mjomba wa binamu aliyemzaa bibi mzaa sijui nani ni faini. Kwenye misiba sasa ni fair play hakuna kunyimana maana wao wanasema wanakua wanafarijiana. Wana dharau sana watu wengine wasio wanyakyusa Hii ipo sana kwa wanyakyusa wa kyela ambapo wamefikia hatua watoto wa kike wa kyela hawawezi kuzaa na mgeni ww kama ni mgeni una demu wa kyela utaishia kula raha tu ila suala la mimba halipo. Ni wabishi sana na hawakubali kushindwa bila kusahau wanaume wa kinyakyusa wengi wao ni wavivu wanategemea wanawake kuwatunza hii imepelekea wanawake kuwa wachapakazi kuliko wanaume na ndio wenye control ya nyumba huku. Hapa nazungumzia wanyakyusa halisi sio hawa wanyakyusa wa darisalama

hii ingetakiwa ndo iwe thread sasa
 
Yah wanawake wa kinyakyusa wanajiamin sana,mwangalie BAHATI BUKUKU.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hawaaminiki na ni wasiri sana. Wako tayari kujua ya kwako lkn yao wanakuficha. Hupenda sifa hata sehemu isiyostahili.
 
Ndio maana wanang'olewa meno na kucha bila ganzi... Ulimboka na Kibanda ni mfano hai, pia yule mwandishi aliyeuliwa kwa bomu Iringa. Wanyakyusa ni threat kwa Kikwete na serikali yake
mfano halisi ni waziri DR H. Mwakyembe, (huyu alisema yeye haogopi kitu chochote yuko tayari kujitoa mhanga kwa kazi yake aifanyayo @Dr Mwakyusa wa MHC, na Waziri Mark Mwandosya hao ni baadhi tu ya wafanyakazi bora Tanzania na hawaogopi mtu.

kaka hapa umenigusa sana nimepaste: UMOJA ni sifa nyingine ya msingi: Si msibani tu Wanyakyusa wakoPAMOJA sana kwa kila kitu. Hata mgonjwa akisafirishwa hadi kwa mganga au hospitali kwa kushirikiana (palutato) wanashirikiana pamoja, Uzalishaji mali ndiyo usiseme- Walilima/wanalima kwa pamoja (INDUULA/INDIMYA), na ng'ombe walichunga/wanachunga pamoja (ULUTIIMO),mambo ya furaha kama harusi ndo usiseme,yaani wanahakikisha kwa umoja wao sherehe inafana.
 
kweli miss strong, kuna kabinti ka kinyaki nakavizia, hebu nipe tips huwa wanapenda vitu/watu wa namna gani? LOL

Ukikatoa out we agiza ndizi mbalaga afu dizaini papuchi zao fupi afu tamu hasa uwakute wale wenye mpododo dizaini wamebinuka mweee kyala nnunu!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukikatoa out we agiza ndizi mbalaga afu dizaini papuchi zao fupi afu tamu hasa uwakute wale wenye mpododo dizaini wamebinuka mweee kyala nnunu!!!

Aisee....mbombo ngafu!
 
Mkuu UKARIMU unawaponza watu wengi sana,maana hawa wanaojiita wajanja wanautumia sana mwanya huo.
Nalog off
 
Back
Top Bottom