Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

Nilichogundua, kitu, mtu, au kabila, likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, kwa sababu wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma,
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.
 
Kuna mmoja kasema wanyakyusa walitoka malawi hiyo si kweli bali wangonde wa malawi ambao pia wanaongea baadhi ya maneno kama wanyakyusa wao walitoka Tanzania katika milima ya Livingstone hii ni kwa mujibu wa kitabu cha historia cha std six au seven cha malawi! Kuhusu wapi wanyakyusa wametoka, ni kwamba walitokea ukanda wa pwani mahali ambapo walikuwa jamii moja na wandengereko baadae mama yao kyusa akaanza kuhama kuelekea bara ambapo baadae wakasetle maeneo ya Morogoro kwa wapogoro na wandamba. Hapo pia hawakukaa sana baada ya mama wa kyusa kutoelewana na mndamba akaamua kuondoka na watoto wake kuelekea nyanda za juu kusini ambapo inasemekana miongoni mwwao wakawa naubishi jinsi yakufika wanakoelekea ambapo wakagawana njia! Wengine wkaelekea Makete ambao ni wakinga na wengine kaelekea ileje ambao ni wandali, na wale walioendelea na safari na mama yao hao ndiyo ambao wanajiita wanyakyusa na hawa wlalifikia wilayani Rungwe na wengi waliingilia sehemu moja inaitwa Busokelo! Jina la busokelo limetokana na kwamba wengi walipitia hapo( yaani hiyo ndo ilikua nii sehemu ya kutokezea kufika Rungwe) ambapo walikuwa wanapeana pole na kuambbiana 'usokile'! Hii story niliyopewa na babu 1998 na mama mkubwa 2012!
 
Ipo hapo kwenye wa kyela "Kupenda kujulikana kama wamesoma nk"
mbona nasikia ni watu wa nongwa sana hakuachii hivi hivi mpaka na yeye akurudishie, tena pale pale ulipomuumiza , sasa kama ni usaliti wa mapenzi si ni balaaa,
 
Umalaya

Kujisifia kulala na wanawake wengi
Wanawake kutokuweza kuwakataa wanaume (wanaona vibaya kukunyima).

Kwa asiye mnyakyusa akioa mwanamke mnyakyusa lazima mwanamke atamsaliti tuuu! hasa akikutana na "KAKA" mnyakyusa mwenzie.
 
Mambo yayoniacha hoi kuhusu wanyakyusa ni pamoja na misiba yao huwa haiishi mtu anaweza akawa slifariki miaka miwili iliyopita sasa akatokea ndugu ambaye hakuudhuria msiba ndio ameenda kuhani kilio kinaanza upya...
Jambo lingine hawa jamaa wasikilize wakilia kwenye msiba kama bandama yako iko poa unaweza kuvunjika mbavu...
Wanalia kwa majibizano kama wanaimba ngonjera......
Kitu kibaya kuhusu hawa jamaa kama we sio wa kwao wanakuchambua kama karanga kwa kilugha chao ukiwa umekaa nao bila kujijua...
 
source ni Wikipedia, halafu wakinga walitokea maeneo ya nyumbanitu. Hiyo story ya mwanamke kyusa ni kwamba ndie aliyewapokea walipofika mbeya so kwa heshima yake ndo wakajiita watu wa kyusa. Lkn source ya Wikipedia inazungumzia kyusa kama muunganiko wa maneno mawili nyasa ambayo ni lake Malawi upende wa Malawi na neno jingine la kidini kama waumini hivi.
Kuna mmoja kasema wanyakyusa walitoka malawi hiyo si kweli bali wangonde wa malawi ambao pia wanaongea baadhi ya maneno kama wanyakyusa wao walitoka Tanzania katika milima ya Livingstone hii ni kwa mujibu wa kitabu cha historia cha std six au seven cha malawi! Kuhusu wapi wanyakyusa wametoka, ni kwamba walitokea ukanda wa pwani mahali ambapo walikuwa jamii moja na wandengereko baadae mama yao kyusa akaanza kuhama kuelekea bara ambapo baadae wakasetle maeneo ya Morogoro kwa wapogoro na wandamba. Hapo pia hawakukaa sana baada ya mama wa kyusa kutoelewana na mndamba akaamua kuondoka na watoto wake kuelekea nyanda za juu kusini ambapo inasemekana miongoni mwwao wakawa naubishi jinsi yakufika wanakoelekea ambapo wakagawana njia! Wengine wkaelekea Makete ambao ni wakinga na wengine kaelekea ileje ambao ni wandali, na wale walioendelea na safari na mama yao hao ndiyo ambao wanajiita wanyakyusa na hawa wlalifikia wilayani Rungwe na wengi waliingilia sehemu moja inaitwa Busokelo! Jina la busokelo limetokana na kwamba wengi walipitia hapo( yaani hiyo ndo ilikua nii sehemu ya kutokezea kufika Rungwe) ambapo walikuwa wanapeana pole na kuambbiana 'usokile'! Hii story niliyopewa na babu 1998 na mama mkubwa 2012!
 
mbona nasikia ni watu wa nongwa sana hakuachii hivi hivi mpaka na yeye akurudishie, tena pale pale ulipomuumiza , sasa kama ni usaliti wa mapenzi si ni balaaa,
kwanini wewe umfanyie ubaya ukiwa unajua ni ubaya, kisasi ni tabia inayojengwa na hali ya uchungu na ni tabia ya binadamu.
 
Umalaya

Kujisifia kulala na wanawake wengi
Wanawake kutokuweza kuwakataa wanaume (wanaona vibaya kukunyima).

Kwa asiye mnyakyusa akioa mwanamke mnyakyusa lazima mwanamke atamsaliti tuuu! hasa akikutana na "KAKA" mnyakyusa mwenzie.
umalaya tabia ya mtu, wanaume wote ni Malaya bila kujali kabila na ndio wenye tabia ya kujisifu kwa kulala na wanawake wengi. Kama watu wenye thread za kusema hawajawahi kulala na bikira Mara sijui wanachekwa na wanaume wenzao n.k si ndo umalaya wenyewe kwani hao ni wanyakyusa wote. Makabila mengi Tanzania hayakatai kuoa mitala hicho ndo chanzo cha umalaya sio wanyakyusa tu. Hiyo post inahusu sifa zao kama jamii/ jumuiya na lengo sio kushindana ukabila. Kama unataka kuwachafua au kuandika mabaya Yao anzisha thread mpya kuhusu hayo.
Narudia tena, ukimtongoza mwanamke unataka nini akukubali akikukubali unamwita malaya
 
Mambo yayoniacha hoi kuhusu wanyakyusa ni pamoja na misiba yao huwa haiishi mtu anaweza akawa slifariki miaka miwili iliyopita sasa akatokea ndugu ambaye hakuudhuria msiba ndio ameenda kuhani kilio kinaanza upya...
Jambo lingine hawa jamaa wasikilize wakilia kwenye msiba kama bandama yako iko poa unaweza kuvunjika mbavu...
Wanalia kwa majibizano kama wanaimba ngonjera......
Kitu kibaya kuhusu hawa jamaa kama we sio wa kwao wanakuchambua kama karanga kwa kilugha chao ukiwa umekaa nao bila kujijua...
Utamaduni wao huo, mbona makabila mengine mtu akifa ndani wanatoka kimya kimya wanaenda kunywa pombe wanalewa ndo wana Anza kulia kwa sauti kutangaza msiba. Tena wanyakyusa kama huwa huendi misiba ya wenzio au ulikuwa hujali wenzio unaringa wanakupa vipande humo humo kwenye kulia. Mara ulikuwa unaringa au mnaringa kaka yenu Ana magari sasa imekuwaje, umeaibika nk. Ni makabila mengi ukienda kuhani msiba kama hukuwepo watu huwa wanalia
 
Kwa nini ulikoma?isije ikawa wewe ndiye tatizo.

kirundi nakwambia nilikoma nielewe, mwanamke analewa kama komba (Mnyama), mi nilikuwa mpole na mvumilivu sana, tena nilivumilia sana mpaka watu wakawa wananinshangaa, nilikuwa eti najiambia nafanya hivyo kwa ajili ya my son wangu, mambo yalinishinda nikasema my so my foot, nilihama nyumba nikamuacha yeye niliondoka na nguo zangu na redio tu, kila kitu niliacha.

Stori ndefu sana mkuu, sa hizi Mungu kanijali nina mbebi mwingine maisha raha mustarehe, yeye kila siku kutuma sms za matusi kwa kipenzi changu. zamu yake kukoma.

He loughs better who loughs last...
 
Last edited by a moderator:
mgawanyiko wa wanyakyusa

wanyakyusa toka zamani walijulikana kama watu wa konde. Wengi walikuwa kaskazini kwa ziwa nyasa, lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya mazingira wengi wao wakakimbilia mbeya mjini na sehemu nyingine.
Pamoja na hayo, hasa wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni wanyakyusa wa tukuyu na wanyakyusa wa kyela.
sifa za wanyakyusa wa kyela

1. Wengi si wapole mtu afanyapo kosa
2. Wacha mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau
5. Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma hadi kupata digrii n.k.)
6. Wapiganaji sana kimaisha
7. Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8. Wanapenda haki itendeke, hawapendi ubabaishaji
9. Ni watu shupavu sana kwenye kazi za kujitolea hasa za kijamii

sifa za wanyakyusa wa tukuyu

1. Wapole
2. Wacha mungu
3. Wanajua kupenda
4. Hawapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi, hasa kilimo
6. Wana wivu sana
7. Wanapenda haki itendeke na hawapendi ubabaishaji
8. Ni watu jasiri na wasioogopa vitisho
9. Ni werevu
hii imetoka wikipedia Wanyakyusa - Wikipedia, kamusi elezo huru
wanyakyusa wote ni washirikina wakubwa
 
Wanawake wa kinyakyusa ni vinganganizi kwa wanaume za watu. Asilimie kubwa ni nyumba ndogo.
 
wanyakyusa wote ni washirikina wakubwa
Mchawi humjua mchawi mwenzie, kama unaowafahamu wewe ni wachawi basi usichafue jamii nzima. Kila kabila lina wachawi nadhani, we kabila gani? Kwani we mchawi au kabila lako Hakuna hata mmoja? Umeielewa topic inavosema? Hiyo ni makala toka Wikipedia inazungumzia hilo kabila kama jamii sifa zao sio sifa za minority. Wewe ukiambiwa ukoo wenu wachawi wakati wapo wachawi wawili au mmoja itakuwa sawa? Kama unataka kulichafua Hilo kabila anzisha thread mpya kwa nia hiyo hapa sio mahali pako
 
Kwa walioolewa na wanyakyusa, Ogopa mtu Wifi. Atajifanya wifi wifi kumbe anatembea na mumeo au mshenga wa mumeo. Mawifi wa kinyakyusa ni balaa usimpe nafasi.
 
Wanawake wa kinyakyusa ni vinganganizi kwa wanaume za watu. Asilimie kubwa ni nyumba ndogo.
Kwani hao waume za watu hufuata nini kwao hao, sifa zilizoelezwa ni za jamii sio wanawake wa kinyakyusa. Wanyakyusa kama makabila mengine wana nyumba ndogo haya ni maadili ya mtu binafsi ingawa utamaduni wa mwafrika unaruhusu hayo maisha ya mitala kila mtu anaamua anachotaka. Vitu vingine ni visingizio tu, huyo mwanaume ni mtoto mpaka alazimishwe kufanya asivotaka yeye si ndo anataka papuchi nje ya ndoa sasa.
 
Kwa wanyakyusa imezidi. Siyo wote lkn asilimia kubwa wako hivyo. Ni kama wanavyosema wachaga wa machame wako hivi.... Nao siyo wote ila asilimia kubwa wanatabia hiyo.
Mwanamke wa kinyakyusa kuwekwa nyumba ndogo kwake ni ufahari.
 
Back
Top Bottom