Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
Nilichogundua, kitu, mtu, au kabila, likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, kwa sababu wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma,
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.