Sifa kuu za wana JamiiForums

Naongezea hapo.
Wanalala k,koo nguo zinaishi kwa dobi
 
1. Wote wana magari.
2. Wote wamefika university
3. Wote wamekaa ulaya.
4. Wote wanaishi dar.
5. Wote ni piskali mademu
6. Wote ni hendome wanaume.
7. Wote wana hela.

Hao ndio wana JF ongezea ya kwako.
Mimi naomba nitofautiane na wewe kwakuwa wengi hujitambulisha hata kwa mikoa waliyopo na wengine wamefikia hata kuunda club zao za JF
Kama ni chitchat tu hakuna shida lakini kama unazungumza serious huo sio uhalisia kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…