RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Naongezea hapo.Asilimia kubwa;
-wanaishi kwao /kwa ndugu/kwa shemeji zao
-Wanadhani wanajua kila kitu
-Wanajidai kuwa na pesa nyingi
-wanadhani wanajua maisha
-Ni keyboard worriors🤔🤣
-Wanajidai wanajua dili zote za mjini
-Wanajidai watoto wa kishua
-ukiuliza kuhusu gari wanakimbilia google kucopy na kuja na hayo majibu hapa as if ni ya kwao🥱
- 'Magari' yao ni ya kuanzia 40m (hasa wale wasiokuwa nayo)🤣
-Wanaliowa mishahara mikubwa sana
-business idea zao ni za mitaji mikubwa (wanaamini sana kwenye kushuka kuliko kupanda🤔).
***Nimesema asilimia kubwa /wengi wao..
Wanalala k,koo nguo zinaishi kwa dobi