Sifa kuwa manispaa mbona tofauti inavotekelezwa

Sifa kuwa manispaa mbona tofauti inavotekelezwa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Manispaa (kwa Kiingereza: municipality) ni mji wenye kiwango fulani cha kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka hayo ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya mahali iliyochaguliwa na watu wa manispaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu) kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la maniipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

Ila chakuchekeza ndani ya manispaa za tanzania barabara, mitaro, ujengi usio na mpangirio na lengine kubwa zaidi kukutana na mifugo ikizagaa kama kuku,bata,mbwa na ng'ombe.
 
Back
Top Bottom