Sifa na tabia za wameru

Status
Not open for further replies.
Sisemi kitu, napita tu, nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi maana naishi nao.
 
1. Wana viisasi
2.washari
3.primitive
4.sio wastaarabu

"kuliko ukutane na mmeru bora ukutane na nyoka"

huu ni usemi rasmi unawadescribu wao.

naunga mkono hoja mia ya mia.
 
  1. Kama ukimchukua hausigirl wa Kimeru anaweza kukutumbulia tumbo mtoto siku mkimtibua
  2. Wanaume kwa wanawake ni wababe kinoma
  3. Hawana staa /uvumilivu wa jambo
  4. hawakubali kushindwa kirahisi
  5. Wana ugomvi usioisha maishani
  6. Wengine ni washirikina kinoma
  7. Wanapenda sana short- cuts kwenye kkila jambo, wanaweza kuingiza hata ng'ombe shambani ilimradi wasiende machungo ya mbali
 
kwa kweli umenchekesha coz mimi ni mmachame lol, hatuko hivyo bwana tunajua kuvumilia sana ila ahsante kwa kunifahamisha
 
1. Wana viisasi
2.Washari
3.Primitive
4.Sio wastaarabu

"Kuliko ukutane na Mmeru bora ukutane na NYOKA"

Huu ni usemi rasmi unawadescribu wao.

nimekupata loh umeniongezea msemo, nimekumbuka kuna mtu wakiwa shule ya msingi alisema ilikuwa mtu akikuambia wewe ni mmeru ni amekutukana na inatosha kupigana na kufikishana kwa walimu,
 
Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!
Hiyo inakuwa ni marital arrangments zenu binafsi!
 
Hawa jamaa ni wagomvi kuliko maelezo...... wakata migomba, wananyea makanisani. ukinunua shamba kwao ama ukimkopesha hupati kitu hapo imekula kwako.
 
Acheni kuwakandia Wameru
Mbona wanatabia nzuri tu jamani mwogopeni Mungu
 
Jamaa wana hasira mbaya na visasi,ukumbuki kipindi kile waligombana wakawa wanachomeana mashamba ya migomba ,kahawa na kuchomeana nyumba.
 

Warefu, weupe wanalala kama gogo hawana ushirikiano kunako majambozi
 
hapana tuna misimamo tu na sio wale wakuambiwa fanya hivi nenda hivi au vile na kusema hapo hapo ndio, lazima tufikiri na tuelewane kabla ya kusema ndio
machame volume 2.hata lugha awatetani hawa .hora mamzalendo!
 

Mkuu Mfianchi.

Nimepata kusikia hadithi za wazee wa zamani kwanini wameru ni wakatili sana.Wengi wanakubali kweli wameru ni wakorofi sana asili ya ukorofi wa wameru ni laana za mababu zao waliwanyonga wamissionary waliokuja kueneza dini.

Pili ni maji/udongo pia unachangia ukorofi wa hili kabila.Ukitaka kuthibitisha jaribu kuuliza madereva wa daladala kwanini ikifika saa 2 usiku hawathubutu kwenda Tengeru,Usa,Maji ya chai.

Madereva wengi wa magari wanahofia kuaribikiwa magari usiku maeneo ya Tengeru,Shangarai,Maji ya Chai na Usa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…