Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Sisemi kitu, napita tu, nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi maana naishi nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Wana viisasi
2.washari
3.primitive
4.sio wastaarabu
"kuliko ukutane na mmeru bora ukutane na nyoka"
huu ni usemi rasmi unawadescribu wao.
kwa kweli umenchekesha coz mimi ni mmachame lol, hatuko hivyo bwana tunajua kuvumilia sana ila ahsante kwa kunifahamishaIkatokea mdada wa kimeru akakuzimikia na mama yake akakupenda.ebwanaee unaweza kuowa mahari ulete baadae wamama wananguvu sana katka maamuz ya watoto wao.sifa yao kubwa wapo kama wamachame akikupenda ukileta makitu ya ajabu ya kupendapenda nje ahaa faster unaweza kutana na israel.
Not true!kwa wadada wamekeketwa halafu wanashea nanihii yani ukioa unaweza tembea na ukoo mzima!!! uchafu mtupu
1. Wana viisasi
2.Washari
3.Primitive
4.Sio wastaarabu
"Kuliko ukutane na Mmeru bora ukutane na NYOKA"
Huu ni usemi rasmi unawadescribu wao.
Hiyo inakuwa ni marital arrangments zenu binafsi!Ninachoelewa ukiowa mmeru ujue yeye ndiye atakuwa mtawala wa nyumba.ndugu zake ndio watakuja lakini upande wako patakuwa na kazi hatajitaidi mlinzi,house b/g wote wawe meru au masai.niwachoyo sanaaaaa!
nimekupata loh umeniongezea msemo, nimekumbuka kuna mtu wakiwa shule ya msingi alisema ilikuwa mtu akikuambia wewe ni mmeru ni amekutukana na inatosha kupigana na kufikishana kwa walimu,
Sisemi kitu, napita tu, nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi maana naishi nao.
kwa kweli umenchekesha coz mimi ni mmachame lol, hatuko hivyo bwana tunajua kuvumilia sana ila ahsante kwa kunifahamisha
vipi we niwakwa temba,kivuyo au palanjyo.apaikunda aikansari au ndeashimeAcheni kuwakandia WameruMbona wanatabia nzuri tu jamani mwogopeni Mungu
Acheni kuwakandia Wameru
Mbona wanatabia nzuri tu jamani mwogopeni Mungu
Ndugu zangu naomba mniambie sifa au tabia za wameru kila mmoja kwa nafasi yake na mtazamo wake. nauliza kwa sababu nimemsikia mtu akisema yeye hawezi kukaa na wameru hata sekunde akaulizwa na mbinguni je ukiwakuta utafanyaje akasema nitatoka. nilipotaka kudadisi nijue undani akawa ameshaondoka na sikuwa na contact zake, embu nisaidieni? binafsi nimekutana nao na sijaona shida yao lakini sielewi kwa nini mtu anaweza sema hivyo.
ahsanteni.
Hivi ni kweli nyie ni wapelistina?
dental formula vp hapoWarefu, weupe wanalala kama gogo hawana ushirikiano kunako majambozi
machame volume 2.hata lugha awatetani hawa .hora mamzalendo!hapana tuna misimamo tu na sio wale wakuambiwa fanya hivi nenda hivi au vile na kusema hapo hapo ndio, lazima tufikiri na tuelewane kabla ya kusema ndio
Wameru ni washari sijapata kuona hawana tofauti na Wakurya,pia ni wagomvi kupindukia,leo anaweza kukuzia shamba kesho anabadilika na kudai uondoke,atawaita wanakijiji wenzake waje wakuvamie,wao katika ugomvi wanategemea sana mapanga,visu ,ngumi kavu kavu hawaziwezi na pia ni kama mbwa mwitu ukimpigana na mmoja kesho analeta kundi,hata mimi siwezi kukaa na Mmeru tukaongea la maana,pia wanajifanya wajuaji zaidi na wanapenda sana hela ,hapo arusha dada zao ndio wengi vyangudoa na hilo hawana aibu nalo na hao akina dada pia ni wababe usitegemee utamukopa