mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 957
Mzee ukijifanya wewe kidume basi jiandae tu kukatwa hayo 'manyanga' yako. Hao jamaa kwa ujumla wao, sio wake au waume ni ubabe na ukatili kwa kwenda mbele. Ulizia vita ya wameru miaka ya 70 ndo utawajua, nomaaaaaa hao watu!
Lakini wasichana wa kimeru wazuri!!! Bana mi nadhani ubabe ni mtu yoyote tu. we jitafutie kitu cha uhakika....
Mkuu usihangaike we nenda pale AKERI kamwone mzee Pallangyo atakwambia kila kitu kuhusu hao wadada.Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
Mzee ukijifanya wewe kidume basi jiandae tu kukatwa hayo 'manyanga' yako. Hao jamaa kwa ujumla wao, sio wake au waume ni ubabe na ukatili kwa kwenda mbele. Ulizia vita ya wameru miaka ya 70 ndo utawajua, nomaaaaaa hao watu!
Mkuu usihangaike we nenda pale AKERI kamwone mzee Pallangyo atakwambia kila kitu kuhusu hao wadada.
Ukiona taabu mpigie simu Mzee Alyce KImaro wa jimbo la Vunjo anawajua wa Sing'isi.
Kimaro hatosahau incident ya ile shamba maisha yake
Upo sawa kaka!Niweshii kisha denyi "Nawafahamu vizuri sana"1. Wachapa kazi (kilimo na ufugaji).2. Lazima jumapili watengeze nywele.3. Wana uwezo wa kutembea umbali mrefu.4. Wakati wa uchumba wanatabia ya "kutingisha kiberiti" wanajifanya hawajali kumbe wanaumia.5. Hawana tabia ya kuhamishia ndugu kwao.(ukimuoa haleti leti ndugu zake nyumbani kwenu).6. Sometimes ni wabishi na wajuaji sana7. Wakorofi (physical na kiburi)8. Wana umoja sana, mchokoze mmoja wanakuja kijiji kizima.9. Wengi wao ni warembo sana, wana mvuto.Kama uko Arusha kazi kwako kaka, sema ukifika Sing'isi kuwa mwangalifu sana.
Mkuu usihangaike we nenda pale AKERI kamwone mzee Pallangyo atakwambia kila kitu kuhusu hao wadada.
Ukiona taabu mpigie simu Mzee Alyce KImaro wa jimbo la Vunjo anawajua wa Sing'isi.
Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
Mama babu unawadhalilisha ndugu zako. Cio vizuri, mbona wana maumbo mazuri tu.Reception ya nguvu, lakini figa mh.......!!!!!
Sijui wanawake wa Kimeru wakoje, nimetokea kufanya kazi na jamaa wa Kimeru wengi tu wote ni Crap! Wakorofi, hawaeleweki halafu wengi wao wanasema wameokoka, I think their Women are just the same.
kwenye RED mkuu unachokoza nyuki
usiombe kuwa na boss mmeru ! Utajutaa !hawana utofauti na wamachame kukutoa roho kitu cha kawaida tu