Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hizi ni sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu.
- Anahisi majani yote yaliyo juu mwenye haki ya kuyatumia ni yeye peke yake (mroho).
- Anaamini ni yeye tu mwenye akili na hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yake ! Anapenda kukanyaga walio chini yake kwa sifa ya urefu wa shingo yake na miguu yake ,yeye anakanyaga kanyaga tu!! Hajali
- Yeye ndio ameamuru wanyama wote wenye sifa kumzidi yeye wasikanyage ukanda wa baridi na kuamuru siafu kuwang'ata popote hata wagonjwa wakanyagwe mpaka wakome !
- Hataki mtu yeyote afanye chochote kwenye eneo lake ,siafu wote wako mfukoni mwake ,misaada anatoa yeye ! Bodaboda anatoa yeye tatizo( uroho).
- Wanyama wote wanaoimba waimbe nyimbo za kumsifu yeye na sio kitu kingine !! Mwambieni yule bwana mahoteli ,aongeze mbinu za kumng'oa huyu na apunguze upole.