Sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu anayeishi maeneo yenye baridi kali

Sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu anayeishi maeneo yenye baridi kali

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Hizi ni sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu.
  1. Anahisi majani yote yaliyo juu mwenye haki ya kuyatumia ni yeye peke yake (mroho).
  2. Anaamini ni yeye tu mwenye akili na hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yake ! Anapenda kukanyaga walio chini yake kwa sifa ya urefu wa shingo yake na miguu yake ,yeye anakanyaga kanyaga tu!! Hajali
  3. Yeye ndio ameamuru wanyama wote wenye sifa kumzidi yeye wasikanyage ukanda wa baridi na kuamuru siafu kuwang'ata popote hata wagonjwa wakanyagwe mpaka wakome !
  4. Hataki mtu yeyote afanye chochote kwenye eneo lake ,siafu wote wako mfukoni mwake ,misaada anatoa yeye ! Bodaboda anatoa yeye tatizo( uroho).
  5. Wanyama wote wanaoimba waimbe nyimbo za kumsifu yeye na sio kitu kingine !! Mwambieni yule bwana mahoteli ,aongeze mbinu za kumng'oa huyu na apunguze upole.
Wanyama wanamuangalia yeye akilegea nao wanalegea, huu sio muda Tena wa cheap politics .Sasa Mbeya ichangamke na mtu pekee wa kuichangamsha ni bwana mahoteli !!
 
Back
Top Bottom