Sifa za kujiunga Chuo Kikuu

Sifa za kujiunga Chuo Kikuu

Vyuo vingine kama UDOM , SAUT nk waige hiyo
Pia inatakiwa uangalie combination Gani anasoma kweny hayo matokeo ya DDF maan kun PCM jamaa Zang kupata DDF ni moja ya mafanikio ila inshu IPO kwa hgl ..hgk na hgl na zingine
 
Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.

Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu. Yani hata ikitokea AAF hupaswi kwenda chuo kikuu.

Ni aibu kati ya masomo matatu una F moja halafu upo chuo kikuu unasoma degree.

Kingine ni kuhusu wanaorudia mitihani form iv na vi, hawa nao kwasababu vitu walivyovisoma ndani ya muda uliopangwa wakafeli kwenye assesment, inabidi grade zao za alama ziwe juu kuliko freshers maana wao walishavisoma hivo vitu wakafeli ndani ya scale ya awali.

Nawasilisha.
Mkuu hakuna chuo kinacho chukua kwa DDF labda DDE two principle pass na one subsidiary ambayo ni E.
Hiyo F kama kweli itakuwa ya BAM au GS
 
Duuuh mi nilipigaga E ya physics daah kwaiyo ningepata S nisingepenya chuo sio eeeh 🤔😁
 
Kwa matokeo ya sa ivi shule za private wanapata div 1.3 shule nzima naunga mkono hoja , ila kipindi chetu aisee pcm au pcb isikie tu! Ndo maana shule za vipaji maalum ziliheshimika
 
Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.

Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu. Yani hata ikitokea AAF hupaswi kwenda chuo kikuu.

Ni aibu kati ya masomo matatu una F moja halafu upo chuo kikuu unasoma degree.

Kingine ni kuhusu wanaorudia mitihani form iv na vi, hawa nao kwasababu vitu walivyovisoma ndani ya muda uliopangwa wakafeli kwenye assesment, inabidi grade zao za alama ziwe juu kuliko freshers maana wao walishavisoma hivo vitu wakafeli ndani ya scale ya awali.

Nawasilisha.
Halafu yule jamaa akiendelea kuwapinga walimu wa bongo mnamuona mbaya wakati shida zinaanzia huku. Haya tu.
 
Kwa matokeo ya sa ivi shule za private wanapata div 1.3 shule nzima naunga mkono hoja , ila kipindi chetu aisee pcm au pcb isikie tu! Ndo maana shule za vipaji maalum ziliheshimika
Izo 1.3 hazifiki shule zaidi ya 6 tz nzima usi generalise mkuuu hizo tunaita shule za private za vipaji 🤣
 
Pia inatakiwa uangalie combination Gani anasoma kweny hayo matokeo ya DDF maan kun PCM jamaa Zang kupata DDF ni moja ya mafanikio ila inshu IPO kwa hgl ..hgk na hgl na zingine
Huko H kunani chuo kikuu mwishe iwe 11.12 isiyo na F
 
acha roho mbaya, we wakiongezewa alama itakusaidia nini
 
Back
Top Bottom