Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko.
Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo.
Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu wepo wa viwanda vingi na ufinyu wa barabara.
Viwanda vinaweza kuwa na mapato makubwa ya wilaya lakini uwekezaji wa miundo mbinu ukawa ovyo.
Zipo kuna wilaya yani zinasifika lakini ukifika ndio utacheka