Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

ILA MI KATIKA MAKABILA YOTE TANZANIA WAGOGO MIMI HUWA NASHIDWA KUWAELEWA......

HIVI KWANINI MNAPENDA SANA KUOMBA OMBAAA
Nilikuwa naangalia movie ya COMING TO AMERICA, nikaona kipande fulani cha jiji la New York kuna beggars, basi nka assume wagogo wametapakaa sehemu mbalimbali duniani.
 
HERI umesema ukweli, kwani huko Amerika wapo wagogo wewe Evelyn na programing?
 
Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"

Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.

Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.

Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
Duh!!!
Naona unawachambua kama karanga.
For me. Mama ni Muha na Father mnyamwezi.
Nataka kuoa mwakani sasa nichagulie kabila la kuoa kwa uweledi wako wa kuyafahamu makabila na sifa zake.
Note. Sina mahusiano yeyote na mwanamkee ambae tamuoa, so ndo nataka nitafute mwanamke.
 
Kuna jamaa aliniambia wa Iraque unaweza kutembea na bibi mapaka mjukuu
 
Kuna makabila hapa tz nasikia mtoto wa kwanza analiwa tena kwa sherehe kubwa na kabla ya kuliwa anatolewa meno. Watu wa msoma na Kilimanjaro na arusha embu nisaidieni juu ya hili ni kweli au ikoje.
 
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Mbona hujamalizia sio wachoyo
 
Kuna makabila hapa tz nasikia mtoto wa kwanza analiwa tena kwa sherehe kubwa na kabla ya kuliwa anatolewa meno. Watu wa msoma na Kilimanjaro na arusha embu nisaidieni juu ya hili ni kweli au ikoje.
Mkuu unamaanisha kuna makabila hapa kwenye nchi ya Magu ni cannibals ?
 
Duh!!!
Naona unawachambua kama karanga.
For me. Mama ni Muha na Father mnyamwezi.
Nataka kuoa mwakani sasa nichagulie kabila la kuoa kwa uweledi wako wa kuyafahamu makabila na sifa zake.
Note. Sina mahusiano yeyote na mwanamkee ambae tamuoa, so ndo nataka nitafute mwanamke.
Tafuta mwanamke atakaekufaa kwa sifa na vigezo unavovipenda wewe, sifa za makabila zipo tu (stereotype) unaweza pata mrangi na akawa sio mgawaji.
All the best......
 
Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh

Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri

Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.

Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
Duh!
 
Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"

Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.

Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.

Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
Nisaidie wameru nataka kujitosa huko please
 
Wazaramo sio Kabisa wanachonga sanaa wanachamba Balaaa. Wakiamua unahama mtaa
yaani hawa wakikamata mwizi wanamuua kwa maneno tu, hawana haja ya kutumia silaha kumuangamiza, unachapwa neno kama sio kuzimia basi unafilia mbali
 
ndio maana ukanda wenu hatuleti mabus luxury, pandeni kisbo na city boy
usinikumbushe mkuu mwaka 2015 nilipanda kisbo kutoka dar kwenda tbr du lile basi kwa kweli limekaa ka daladala za vijijini, manake tulivyotoka msamvu wakatoa dubwana la pembe karibia na radiator so radiator ikawa inapulizwa na upepo wa nje, ila nashukuru tulifika tabora salama,
 
Back
Top Bottom