DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Nilikuwa naangalia movie ya COMING TO AMERICA, nikaona kipande fulani cha jiji la New York kuna beggars, basi nka assume wagogo wametapakaa sehemu mbalimbali duniani.ILA MI KATIKA MAKABILA YOTE TANZANIA WAGOGO MIMI HUWA NASHIDWA KUWAELEWA......
HIVI KWANINI MNAPENDA SANA KUOMBA OMBAAA
HERI umesema ukweli, kwani huko Amerika wapo wagogo wewe Evelyn na programing?Nilikuwa naangalia movie ya COMING TO AMERICA, nikaona kipande fulani cha jiji la New York kuna beggars, basi nka assume wagogo wametapakaa sehemu mbalimbali duniani.
Duh!!!Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
Kuna jamaa aliniambia wa Iraque unaweza kutembea na bibi mapaka mjukuuWagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
Mbona hujamalizia sio wachoyoNajua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Mraaa, ungekuwa karibu ningekughecha mraa!![emoji34] [emoji34]Hahahaha wakurya mbona wako poa sana, nina mabest zangu sema zile command language zao zinakasirisha.
Mkuu unamaanisha kuna makabila hapa kwenye nchi ya Magu ni cannibals ?Kuna makabila hapa tz nasikia mtoto wa kwanza analiwa tena kwa sherehe kubwa na kabla ya kuliwa anatolewa meno. Watu wa msoma na Kilimanjaro na arusha embu nisaidieni juu ya hili ni kweli au ikoje.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kuna jamaa aliniambia wa Iraque unaweza kutembea na bibi mapaka mjukuu
Tafuta mwanamke atakaekufaa kwa sifa na vigezo unavovipenda wewe, sifa za makabila zipo tu (stereotype) unaweza pata mrangi na akawa sio mgawaji.Duh!!!
Naona unawachambua kama karanga.
For me. Mama ni Muha na Father mnyamwezi.
Nataka kuoa mwakani sasa nichagulie kabila la kuoa kwa uweledi wako wa kuyafahamu makabila na sifa zake.
Note. Sina mahusiano yeyote na mwanamkee ambae tamuoa, so ndo nataka nitafute mwanamke.
Duh!Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh
Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri
Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.
Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
We nae unakomaa kutetea vitu vilivyo wazii hata mtoto mdogo anajua jamii inayoongoza kwa kuomba ni wagogoHERI umesema ukweli, kwani huko Amerika wapo wagogo wewe Evelyn na programing?
Nisaidie wameru nataka kujitosa huko pleaseWagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.
yaani hawa wakikamata mwizi wanamuua kwa maneno tu, hawana haja ya kutumia silaha kumuangamiza, unachapwa neno kama sio kuzimia basi unafilia mbaliWazaramo sio Kabisa wanachonga sanaa wanachamba Balaaa. Wakiamua unahama mtaa
hahahaha, nimeipenda ati kwa hisani ya faizafoxyUzuli ni uzuri
Vizuli ni vizuri
Kwa hisani ya Faiza
akina dada au mama muda wote mguu pembeniwahaya wazuri Wa mishepu na wakarim sana
Uchawi kwa sasa si hulka ya kabila Bali imekuwa ni kamq desturi kwa sasa,makabila yote kwa sasa yanafanya hiki kituhuwajui wanyakyusa wewe . usingeacha kipengele cha uchawi
wajita mya mya ni nyingi sana wanafukuzana na mzaramonyinyi wajita kujisifia ndio zenu kumbe watupu
usinikumbushe mkuu mwaka 2015 nilipanda kisbo kutoka dar kwenda tbr du lile basi kwa kweli limekaa ka daladala za vijijini, manake tulivyotoka msamvu wakatoa dubwana la pembe karibia na radiator so radiator ikawa inapulizwa na upepo wa nje, ila nashukuru tulifika tabora salama,ndio maana ukanda wenu hatuleti mabus luxury, pandeni kisbo na city boy