Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Nisaidie wameru nataka kujitosa huko please
Wanawake wa kimeru ni watafutaji sana,wanajuhudi kwakweli ila pia ni wakorofi, wababe sana.... Sura wanazo ila shape hakuna kitu, miguu fito
All the best
 
umewasahau wanyiha awa ni wastarabu sana..
 
uko sahihi kabisa pia wavivu wa kupika,wanavinyongo mkikosana atakili yameisha ila moyoni hapana naniwaongeaji wazuri sana.
 
Tafuta mwanamke atakaekufaa kwa sifa na vigezo unavovipenda wewe, sifa za makabila zipo tu (stereotype) unaweza pata mrangi na akawa sio mgawaji.
All the best......
Thanks mkuu
 
uko sahihi kabisa pia wavivu wa kupika,wanavinyongo mkikosana atakili yameisha ila moyoni hapana naniwaongeaji wazuri sana.
kwenye uongeaji sasa ndio balaa yaani urafikir mdomoni amemeza memory card.
 
 
Huyo jamaaa yangu anaetaka kuoa mkinga ajipange kule mizimu yake ni hatari INA kula damu za watu tu asije akawatesa wanawe
 
Kwa sababu ni washabiki na wana mapenzi ya dhati kwa chama wakipendacho ila si upendo kwa wagombea kama unavyodhani.
Kuna baadhi ya vyama hata vikisimamisha swines wanashinda.
hebu fikiria hata wanapocheza simba na yanga mwanamke yu radhi kwenda kwa kiingilio chochote hata watoto wasipokula.
Kweli?
 
Du kwa tabia hizi itakuwa familia zao zinalishwa na wageni wa dar wanao piga kazi kiume sasa makao makuu yakihamia dodoma hakika mtakula chumvi bahari.
Chapeni kazi acha kushinda baoni
 
Asante kwa hamasa hiyo, Wagogo wenzangu tuchukue hoja ya Evelyn Salt kama changamoto ya kuongeza bidii ya kazi.
Hakika Tanzania tunahitaji mioyo kama hii.
Mtu akiku touch kwa ukweli jirekebishe. May God bless you and be fruitful ili tupate mbegu kama yako
 
Aaaah wapi katika wakurya 10 mstaarabu mmoja tu tena nae labda wa mjini wakurya wakorofi
Survival for the fittest,

yes kwao ujasiri na huo unao uita ukorofi ni means of survival kwa sababu mazingira yao yalikuwa yanachangamoto za kiusalama.

Enzi hizo kama hukuwa na mume thabit familia yenu aidha ihame isalimike au iwe jasiri iishi.

Changamoto ya kwanza ilikuwa UVAMIZI NA UFILISI WA MIFUGO KUTOKA NJE AU NDANI YA MKOA.

kwa hiyo people fought to death because cattle were one of their means of survival.

Second they were constantly attacked wild animals directly or indiretly you want to know why? easy fuata nyuki

But nowadays changamoto hizi zinapungua na taratibu people change their ways and what you just say now just covers their part of history.

Thanks

Still loading...
 
Kisbo ndo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…