Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Huwajui wapare, ni moja ya kabila lenye wahuni wa kupindukia, na ushirikina, wanaanza michezo michafu wakiwa wadogo sana.Wachoyo na wabinafsi. Ukikuta mpare asiye mhuni au asiye na roho ya umaskini ni nadra sana
Pamoja na kuwa wapare ni malaya na ni wachawi lakini elewa kuna wapare wa mwanga na same aisee wanaogopana mfano mpare wa mwanga hawezi kumuoa mpare wa same maana mpare wa same mchawi kuliko
 
Na wakinga hawajengi kwao lakini ndio matajiri wakubwaa Tanzania kwao huko wanakokuita makete kubayaaa sana mbaya zaidi na ukimwi wa kasi ya ajabu pa uongoooo
Sisi watafutaji. Tumesambaa sana nchi hii had I Zambia, Malawi hadi Africa kusini.
Ukimwi ulienezwa na mabinti wa KAZI walipokuwa mikoa ya DSM,Moro, nk. Walipoukwaa na kurudi mskete njombe wakawa wanagawa dose.
Na wanaume waliokuwa nje ya makete kutafuta maisha waliporudi nao wakasambaza kwa wake zao.
Kwa baridi ile uzinzi ni mkubwa.
 
Sisi watafutaji. Tumesambaa sana nchi hii had I Zambia, Malawi hadi Africa kusini.
Ukimwi ulienezwa na mabinti wa KAZI walipokuwa mikoa ya DSM,Moro, nk. Walipoukwaa na kurudi mskete njombe wakawa wanagawa dose.
Na wanaume waliokuwa nje ya makete kutafuta maisha waliporudi nao wakasambaza kwa wake zao.
Kwa baridi ile uzinzi ni mkubwa.
Wakinga hawajengi kwao sababu wanaogopa kurogwa
 
We unajifanya unajua lakin hujui lolote.Hata ukiendesha sensa humu jf utapata matokeo kuwa hakuna kabila linaongoza Tanzania kwa kuwa na roho nzuri na ukarimu kama wasukuma.Huwezi kwenda kwa msukuma ukaondoka hajakukirimu katika kiwango cha hali ya juu,hii ni kwasbb wasukuma ni wachapakazi sana na hakunaga njaa usukumani.Ni wapole na wenye tabia nzuri.Hii pia ipo kwa wanyamwezi,maana kiasili msukuma ni mnyamwezi,its a matter nini kilitangulia kati ya yai na kuku.Hata wachaga hawana roho mbaya..its just that they want everybody to be independent and successfulUkiniambia mi niishi na kabila gani,nitakuambia mchaga,kwasababu hana wivu na anataka wote muendelee
Hapo kwa wanyamwez,umekosea
 
Miaka ya nyuma kidogo kuna kabila lilikua na mikono ya sweta wengi nani analikumbuka?
 
Wanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi mama akutengeneze sijui sasa hivi.

Wachaga: wazuri wa sura, watafutaji, wanaume baadhi wanajitahidi kujali familia, miguu fito, maumbo yao huwa yana makosa ya kiufundi, ila siku hizi afadhali kwa sababu ya intermarriage basi wanazaliwa wachaga wenye maumbo ya kueleweka

Wakerewe: hawa nao kwa kujivuna hawajambo wakati wanamiliki furu tu, kwa ushirikina pia wapo wapo
Haahahaha kuhusu wachaga hapo full umegusia ka ukwel flan hv
 
JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.

KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.

MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .

MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA

WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
HIVI WACHAGGA ULIAMBIWA AU ULISIKIA. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. GO AND U WILL SEE THEM AND HOW GENOROUS THEY ARE.
 
wachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.
Hahaa acha kuchekesha mkuu,wanawake ni wazuri lkn ni vishoia wanauza baa na vitumbua wanaume wanapigwa na wake zao .
 
Back
Top Bottom