Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yethuuuuu na Maria naifuta ndoto yako kwa petrol na kiberiti ishindweeeEvelyn nimeota ukiwa umeolewa na mpare[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijawahi wala kuwa na mpare haijawahi na haiwezi tokeaAlafu wewe nadhani ulitendwa na jamaa wa kipare ndo mana unaruka kaa kitenesi
vutia kwako aiseeJAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.
KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.
MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .
MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA
WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
Alichosema Evelyn Salt kuhusu wapare ndivyo walivyo.
shule ndo tatizoMIMI UZULI NIMEZALIWA DAR NIMEKULIA DAR WAZARAMO NIMEKAA NAO SANA NAWAELEWA. VIZULI NI WATU POA SANA HAWANA UKABILA WALA UDINI.
NDIO MAANA WABUNGE WA DAR UKIANGALIAA ......
1.MNYIKA NI MPARE
2.HALIMA. MDEE NI MPARE
3.ZUNGU NI MZUNGU
4.MWITA WAITARA NI MKURYA
5.BONNA KALUWA NI MUHAYA
6.FAUSTINE NDUGULILE NI MNGONI
7.MEYA WA JIJI NI MKURYA
HIVI INGEKUWA WAZARAMO WANA CHONGA SANA IVI UNADHANI WAGENI WANGEWEZA PATA NAFASI KAMA HIZI
Wapare watu poa sana ni wachumi wazuri na wanapenda haki
Nitakupa sifa zaoNataka kuoa mpogolo, wana sifa zipi hao ?
hahaha pole sana mkuuNilikuwa na mwanamke wa kimasai duh... mkorofi kweli cjui wote wako ivo?
hapana mkuu anamaanisha anagegeduliwaMkuu unamaanisha kuna makabila hapa kwenye nchi ya Magu ni cannibals ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yethuuuuu na Maria naifuta ndoto yako kwa petrol na kiberiti ishindweee
Binti wa kichaga akisema ana miaka 26 .ongeza 6.Wachaga hawana miguu mizuri , Wanajua kukiss
Huwajui vizuriwachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.
Wahehe ni waaminifu sana. Tatizo lao roho mbaya na chuki kali. Ni wasiri sana hata akiua hasemi bora afe.wanaume wao acha ndio manunda sana akili ziro. Hawezi kulea mtoto wa mke. Atamuua lazima.Evelyn Salt nichambulie wahehe tafwazali nataka nizamie kule
Wanamiliki furu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....umesahau, wanamiliki na[emoji246]Wanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi mama akutengeneze sijui sasa hivi.
Wachaga: wazuri wa sura, watafutaji, wanaume baadhi wanajitahidi kujali familia, miguu fito, maumbo yao huwa yana makosa ya kiufundi, ila siku hizi afadhali kwa sababu ya intermarriage basi wanazaliwa wachaga wenye maumbo ya kueleweka
Wakerewe: hawa nao kwa kujivuna hawajambo wakati wanamiliki furu tu, kwa ushirikina pia wapo wapo