Sifa za Manabii wa uongo

Haitoshi kumtuhumu..tupe ushahidi na vigezo za kutuaminisha ni wauwongo...
 
Sifa ingine kuu ni UZINZI, wanazini na waumini wao,

Hama haraka ukisikia shutuma za Zinaa Kwa mtumishi wako kuhusiana na UZINZI.
 
Kizazi hiki hakuna nabii, mtume wala Mchungaji wa kweli, hawa woote katika dini zote ni matapeli.

Si hao tu wanaojiita hayo majina mazuri bali hata ninyi wachungaji na wafia dini zote ni matapeli vile vile maana mnaeneza injili ambayo hata ninyi hamuitambui, wala hamjui lolote kuhusu hizo biblia zaidi ya kukalili.

Kanisa la kweli nyakati hizi ni wewe mtu na huitaji kiongozi yeyote kutoka katika dini yoyote eti awe muunganishi wako na huyo wanaemuita Mungu, wala huitaji maombezi yoyote kutoka kwa kiongozi yeyote wa kanisa, maana kiuhalisia nyakati hizi kanisa ni wewe mtu na sio dhehebu fulani wala kikundi fulani kilichoanzishwa kinachojiita kanisa.

Huyo yesu mnaemuhubiri hata hamumjui vizuri je mtaweza kuyachambua mafundisho yake zaidi ya utapeli tu.

Mnahangaika kuwaponda hao mnaosema manabii wa uongo huku hata ninyi mkitumia mafundisho ya uongo na biblia za uongo kutoka kwa mrumi aliyechakachua maandiko na kubadiri karibu 90% ya hizo biblia.

Kiufupi watu wa dini mnajichosha tu mnawahukumu watu kwa matendo ambayo hata ninyi mnayafanya bila kujua.

Dini za kuletwa na watu weupe hazitomkomboa mtu mweusi, msijichoshe bure kuhubiri ujinga usio na msaada katika jamii.
 
Industry ya utume,uinjilist na upasta fake unashamburiwa na wajanja ambao wazuri kufanya public speaking ambao hutoka makundi yafuatayo.
1.Pschologist hawa wanajua kuigusa jamii kwa kutoa mahubili mafunzo ambayo inalenga kuwafundisha watu mambo ya kidunia kuliko biblia mfano Tonny kapola na Daniel mgogo
2.Comedian mfano Masanja hawa wana uwezo wa kuteka masikio ya watu kirahisi kwa kuwafanya wasichoke kuwasikiliza kuliko taasisi za dini kubwa kama uislam wakati wa kusali TARAWEI na RC kusali Rozali takatifu
3.Ma Mc wa sherehe na misiba hawa hawaogopi hadhila wana uwezo mkubwa wa kupanga maneno na wakashawishi sadaka kutoka mifukoni na kuja kwenye bakuli/kikapu chao mfano Mc pilipili
4.Matapeli wa miujiza feki kwa kukodi watu kutoka nchi jirani na mimi nimeshawahi kushiriki kutafuta misukule bandia na wakapangwa how to act on stage mfano Mwamposa,Suguye,Kakobe,Lusekelo na Gwajima
5.Wanyakyusa hawa kenge sijui wapoke hata huko kwao Mbeya Tukuyu na Kyela hawaaminiani kila familia ni kanisa lililokamilika kwa sababu ya hulka yao ya unafiki wamekuwa wazuri wa kujifanya wapo jirani na Mungu kuliko kabila lolote hapa nchini ndo maana hata waimbaji wa nyimbo za injili na manabii feki asilimia kubwa ni wanyakyusa.ANGALIZO hata ukipata mke wa kinyakyusa mpenda dini kuwa makini wengi ni waigizaji tu ipo siku yeye au ndugu zake watakiwasha mtashindwana nae.Mfano hapa utajaza mwenyewe ukisikia muimbaji ama mtume jina lake linaanza na MWA tayari hao ni wanyakyusa na pia huko kwao Mbeya wanaogopana kuoana wao kwa wao kwa sababu ya unafiki uliopindukia.Kama mnabisha aje mtu hapa anaesoma comment hii atoe ushuhuda kuwa ameoa au kuolewa na mnyakyusa mtanishukuru baadae
6.Motivatinal speaker hawa watu wanajua kugusa shida za watu kwa kuongea sentensi nzuri zinazohusu majanga yanayoikumba jamii haswa wanawake na hivyo wanaziconnect na miujiza ili kutoq suggested solutions na kuwapqnga watu watoe shuhuda kuwaaminisha waumini wengine(nyumbu) kuwa hapo ni sehemu sahihi ambapo shida zao zitakuja kuguswa ila leo sio zamu zao kupokea miujiza na mara nyingi hapmwa hujizolea waumini kutoka madhehebu makubwa ambayo yana ibada au maombi yaliyo kwenye mpango maalum eg Waislam ,RC na lutheran hupoteza waumini wengi kwa sababu ibada zao zinasahau kugusa shida za waumini kwa kukomaa na ibada zilizo wekwa kwenye katiba za vitabu vya miongozo mfano RC katekisimu na Shajala ambazo zimeeleza namna na ya kuendesha ibada.
 
24. WAFUASI WAO LAZIMA WAWE MASKINI
 
Tony Kapola inamhusu hii. Kajamaa kapuuzi sana na injili yake feki!
viwatu vyote vinavyohubiri mahubiri ya hekima ya kibinadamu inayofurahisha watu, injili ya sukari, badala ya injili inayosukumwa na Roho Mtakatifu, hana tofauti na motivational speakers, na ni sawa tu ukiwaita watu wa aina hii "wapiga pesa' WA KAWAIDA TU.
 
Mkuu naona unataka kuanzisha ugomvi wa kikabila hapa jamvini....Wanyakyusa tumekukosea nini?
Mbona dada zetu ni watu wema sana na wametulia na ndoa zao.
 
M

Mnadanganya na kuganganyana makanisani hakuna nabii wala mtume wa ukweli yoyote kati yenu wala mtakatifu mchamungu kati yenu.....injili yote mnayo itumia imepotoshwa siyo injili ya kweli iletayo wokovu mfano ukimsikia mtu anakuambia
1)MUNGU ANAZO NAFSI 3
2)YESU ALISULIBIWA KWA SABABU YA DHAMBI YA ASILI
3)KANISA NI NYUMBA YA IBADA AMBAYO WATU WANAINGIA NA VIATU
4)KITU CHOCHOTE CHENYE KUITWA DHEHEBU
5)FUNGU LA 10 LA DHAKA KUWA LINAPELEKWA KANISANI AU AKIKUAMBIA KUWA KATIKA INJILI KUNA KUTOA FUNGU LA 10...NK ..
Huyo ni muhuni katika DINI .....ndiyo hao walio nenewa haya maandiko 👉CHUKIZO.LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU.
 
taratibu mmoja mmoja atakuwa anajifunua, ukweli utajulikana tu. na mwisho wao mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…