Sifa za Mashangazi Original

Wee acha kuna mchezo nimeingia wa dollar 1000 kwa wakinga wenzangu unaninyoosha na njanuary hii 🀣🀣🀣
Bado kodi inanisubiri, nimetoka kuwalipa TRA mapato yao. Nasubiri wa leseni.
Kiherehere hicho mapema yote kulikuwa na haja gn ya kumalizana na TRA.

Kodi ongea na mzee hakikisha iwe inaisha miezi hii 8-11 nje na hapo soon utakua shangazi
 
Nimetafuta wimbo wa Snura,uitwao Majanga ,sijaupata. Gari anunue yeye,mafuta aweke yeye,misele upige wewe.
Yaani dunia ya leo hamna kitu. Haya,mtoto wa kiume adai kuitwa mwanaume. Liumri lote kama urefu wa mnazi,hutaki kujishughulisha,unataka mwanamke achune akuletee. Na wewe kesho utalalamika madanga ya shangazi yamekufumua. Dadeki.
 
Wizo umefikiwa si lijishangazi wewe 🀣🀣🀣
BICHWA KOMWE -
Nimelia sana had kwikwi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakosaje gari kwa mfano???? Khaaaaa....

Kwa hili sambwanda langu lazima nitembee kwa kukaa.

Natembelea Harrier tako la nyanii sina mbambamba shangazi miee πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…