Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

Wee acha kuna mchezo nimeingia wa dollar 1000 kwa wakinga wenzangu unaninyoosha na njanuary hii 🤣🤣🤣
Bado kodi inanisubiri, nimetoka kuwalipa TRA mapato yao. Nasubiri wa leseni.
Kiherehere hicho mapema yote kulikuwa na haja gn ya kumalizana na TRA.

Kodi ongea na mzee hakikisha iwe inaisha miezi hii 8-11 nje na hapo soon utakua shangazi
 
Nimetafuta wimbo wa Snura,uitwao Majanga ,sijaupata. Gari anunue yeye,mafuta aweke yeye,misele upige wewe.
Yaani dunia ya leo hamna kitu. Haya,mtoto wa kiume adai kuitwa mwanaume. Liumri lote kama urefu wa mnazi,hutaki kujishughulisha,unataka mwanamke achune akuletee. Na wewe kesho utalalamika madanga ya shangazi yamekufumua. Dadeki.
 
Back
Top Bottom