Sifa za Mashangazi Original

Wizo wangu mimi mwenye msambwanda wake 🀣🀣🀣
Hivi wizo mimba yetu ina miezi mingapi now?
miezi saba now πŸ€—πŸ€—πŸ€— soon naitwa mama jamanii awwwwh πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee πŸ₯°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…