Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

Wizooo wetu yuko winja winja uduguuu, shangazii tunae.
Kigoma na tarumbetaaa vipoo vya kushatooo, mama shughuri nipoo afu naimudu sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

huyo shombeshombe yupiii? Wee baba wa mtoto si jamaa wa kipare yuko humuuu? Au
Kumbe mpare..??? Mazito.!!
Sasa wizo anachonisemeaga mume wangu mfupi kitu gani??
kumbe naye kachukua kiandunje cha milimani uko upareni.!!!
Halafu vichawi vijitu vya uko 🤣🤣🤣
Kazi anayo, ameyatimba.
Ndio yule fundi magari?
 
Ukija kukaa vzr ukipata pesa fungua ofisi nyingine nje ya kkoo..!!!
Mwenzio nikiona hapasomeki nipo zangu Mwenge kuna kiduka cha liquor walevi hawana January [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema hapo kwenye walevi pana maokoto sana tatizo imani yangu inanikataza.....labda chakula

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Fungua duka la vyakula uwe unaenda mwenyewe unanunua mipunga unakoboa, unasafirisha hadi dar, na mahindi unakoboa na kusaga mwenyewe. Maharage na mafuta ya alizeti nayo nunua alizeti unakamua mwenyewe..!
Ukija huku una pack unauza rejareja na jumla kwenye viduka vya Mangi.

Machimbo yapo mengi, ila mchele mzuri Mbeya, Moro na Sumbawanga
Ila sumbawanga utapata vyote hivyo nilivyokwambia kwa bei nzuri..!!
 
Shukrani sana kwa hii comment, nikikaa poa naifanyia kazi saizi acha niprint na kuifanyia lamination kichwani
 
Fungua duka la vyakula uwe unaenda mwenyewe unanunua mipunga unakoboa, unasafirisha hadi dar, na mahindi unakoboa na kusaga mwenyewe. Maharage na mafuta ya alizeti nayo nunua alizeti unakamua mwenyewe..!
Ukija huku una pack unauza rejareja na jumla kwenye viduka vya Mangi.

Machimbo yapo mengi, ila mchele mzuri Mbeya, Moro na Sumbawanga
Ila sumbawanga utapata vyote hivyo nilivyokwambia kwa bei nzuri..!!
Mfano maeneo gani yanaweza kua mazuri kufanya hicho kitu? Nafaka nae ni nzuri
 
Back
Top Bottom