Ninachoamini mke mwema ni binadamu mwenye sifa zilizoainishwa hapo juu na nyingine nyingi,ila mke mwema ni zao la uhusiano mzuri na msaada wa Mungu. Mke mwema si malaika,kuna wanawake wengi tu wameshindwa kuwa wake wema kutokana na maisha wanayopitia kila siku. Kwa hiyo mwanaume/wanaume wana nafasi kubwa sana ya kuwafanya wake zao kuwa wake wema,kwa kuwaheshimu na kuishi nao kwa akili kama neno la Mungu linavyosema.Its a two way thing.
Nimeipenda sana hii thread,natamani sasa tujadili sifa za wanaume,manake biblia imewazungumza na namna ya kuishi na wake zao.
Ubarikiwe Mikela.