Manumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 1,746
- 1,283
kuna kitu kinafurahisha kuhusu mke mwema. siku zote tunasikia mke mwema hutoka kwa mungu. katika hali ya kawaida kila aliye ndoani huwa na imani kuwa huyu aliyenaye katoka kwa Mungu kama yasemavyo maandiko....sijui hii dhana hubaki pale talaka itokeapo? manake sio kweli kuwa kila mke atakuwa mke mwema chaguo la mungu..ndo maana baadhi ya ndoa hushindikana.
hii maneno hamna ya mume mwema/bora etc? labda hii ndo huwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa, manake mke mwema mume je?
hii maneno hamna ya mume mwema/bora etc? labda hii ndo huwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa, manake mke mwema mume je?