Sifa za mke MWEMA

Sifa za mke MWEMA

kuna kitu kinafurahisha kuhusu mke mwema. siku zote tunasikia mke mwema hutoka kwa mungu. katika hali ya kawaida kila aliye ndoani huwa na imani kuwa huyu aliyenaye katoka kwa Mungu kama yasemavyo maandiko....sijui hii dhana hubaki pale talaka itokeapo? manake sio kweli kuwa kila mke atakuwa mke mwema chaguo la mungu..ndo maana baadhi ya ndoa hushindikana.

hii maneno hamna ya mume mwema/bora etc? labda hii ndo huwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa, manake mke mwema mume je?
 
mulinieleza na nikawaelewa <br />
ule mpango nishaufutilia mbali.
<br />
<br />


Umetumia Hekima,Mungu Akubariki na Ukamfanye Mume wako awe Maarufu kupitia kwako kuwa Mke Mwema aketipo na Wazee wa Nchi!! Hongera!!
 
Mikela,tumwagie basi na mistari ya mme mwema nione kama najifitisha.
 
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipatia mchumba mwenye sifa. Ninachozi kumuomba ni kumlinda mchumba wangu dhidi ya ibilisi shetani asibadilishe roho yake ya upendo na sifa zote alizonazo. Sala zenu pia wana jf kwa Mungu wa Ibrahimu ambaye ndiye Mungu wetu ni muhimu.
 
Wenye hizo sifa tutawatoa wapi? Wapo kweli?
Wenye sifa zooote hizo wangekuwepo basi the world would be a better place....kusingekuwa na divorces!
Nimpate mke mwenye sifa zote hizo then sidhani kama nitahangaika cause I wouldn't ask for more
 
Ninachoamini mke mwema ni binadamu mwenye sifa zilizoainishwa hapo juu na nyingine nyingi,ila mke mwema ni zao la uhusiano mzuri na msaada wa Mungu. Mke mwema si malaika,kuna wanawake wengi tu wameshindwa kuwa wake wema kutokana na maisha wanayopitia kila siku. Kwa hiyo mwanaume/wanaume wana nafasi kubwa sana ya kuwafanya wake zao kuwa wake wema,kwa kuwaheshimu na kuishi nao kwa akili kama neno la Mungu linavyosema.Its a two way thing.

Nimeipenda sana hii thread,natamani sasa tujadili sifa za wanaume,manake biblia imewazungumza na namna ya kuishi na wake zao.
Ubarikiwe Mikela.
 
mkuu unatakiwa kutoa usia kwa wanandoa,wengine umewagusa. safi sana
 
Mwanamke mwenye akili huijenga nyumba yake,ila mpumbavu huivunja kwa ulimi wake!Inaonekana usalama wa ndoa upo mikononi mwa mwanamke akiwa mjinga imekula kwako
 
Mwanamke mwenye akili huijenga nyumba yake,ila mpumbavu huivunja kwa ulimi wake!Inaonekana usalama wa ndoa upo mikononi mwa mwanamke akiwa mjinga imekula kwako
 
Wadada wenzangu yote yawezekana. NIna kitabu kinaitwa A WOMAN of PROVERB 31, aliyekitunga nampa salute. Tunatakiwa kuwa hivyo kama wanaume zetu wakitupa support katika kila kitu. Kibaya ni UAMINIFU nidyo unatuangusha, mumeo akifanya na wewe kesho unajibu mapigo. Mithali 31 inakuwa ZERO
 
Back
Top Bottom