Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!!
Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi ili uitwe mtoto wa mjini?
Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi ili uitwe mtoto wa mjini?