Sifa za mtoto wa mjini

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!!

Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi ili uitwe mtoto wa mjini?
 
Hujui kulima,mtu wa kula mabaga,chipsi,chai kavu,uongo mwingi kazi kidogo,kila kitu unajijua hata Donald Trump mlisoma nae,utapelitapeli,majisifu,ujanjaujanja,Mzee wa michongo fake na halali nk
 
1. Money

2. Power
 
Hujui kulima,mtu wa kula mabaga,chipsi,chai kavu,uongo mwingi kazi kidogo,kila kitu unajijua hata Donald Trump mlisoma nae,utapelitapeli,majisifu,ujanjaujanja,Mzee wa michongo fake na halali nk
Doh asa mbona sifa mbovu mbovu
 
Madili makubwa makubwa yote na wewe unakuwemo, mf EPA, ESCROW etc, hapo ndio unakuwa mtoto wa mjini 🤣🤣🤣
 
Mtoto wa mjini unatakiwa uwe na mizizi mirefu mjini familia yenu ilikuwepo mjini kabla ya mwaka 1900.

Sio umekuja juzi na treni behewa la kajambanani na wewe unajiita mtoto wa mjini.
 
Cc The Boss kwenye thread yake maarufu jamvini je magufuli atawaweza watoto wa mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…