Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisandu akipost anakimbia
SIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU.
1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA.
2. Asiwe mlokole atanichezea akili Bali Mcha Mungu binafsi.
3.Sitaki Mwanamke wa kuletewa au wakupewa.
4. Asiwe mfanyakazi wa Ikulu, atatumika kunizima.
5. Awe Mwanasiasa ninaye mkubali Mimi.
6. Awe Mwanamitindo au MSANII ninaye mkubali Mimi.
7. Awe aliyewahi kushiriki mashindano ya Urembo (Miss Fulani hivi).
8. Awe mwanaharakati wa Maendeleo asiye tapeli kama vile mjasiliamali.
9. Awe Mwandishi au Mtangazaji ninaye mfahamu na nina mkubali Mimi.
10.Awe Mwanachuo anayejitambua kifikira.
11.Awe Mwananchi wa kawaida aliyefundwa maana ya MME na asiye tapeli Mali za Mme na asiye kubali kurubuniwa.
12. Awe mtu maarufu katika mambo mhimu ninayo yakubali Mimi.
13. Au Awe mtoto wa Barack Obama.
14. Awe Maji ya kunde au Mweupe kimtindo.
15. Walau English Figure na kasura kawepo walau kakulingishia maadui zangu.
16.Asiwe mwanamke yeyote ambaye nimewahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi(Tunaanza upya).
NB: Huu sio utani mtanielewa tu. Mwenye sifa tunawasiliana au na mtafuta mwenyewe kwa namba yangu 0764 134570.
Deogratius Nalimi Kisandu.
27 Desemba 2017.
Inamaana hizi sifa zooote anatakiwa awenazo huyo mwanamke mmoja unaetaka kumuoa ama mi sijaelewaSIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU.
1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA.
2. Asiwe mlokole atanichezea akili Bali Mcha Mungu binafsi.
3.Sitaki Mwanamke wa kuletewa au wakupewa.
4. Asiwe mfanyakazi wa Ikulu, atatumika kunizima.
5. Awe Mwanasiasa ninaye mkubali Mimi.
6. Awe Mwanamitindo au MSANII ninaye mkubali Mimi.
7. Awe aliyewahi kushiriki mashindano ya Urembo (Miss Fulani hivi).
8. Awe mwanaharakati wa Maendeleo asiye tapeli kama vile mjasiliamali.
9. Awe Mwandishi au Mtangazaji ninaye mfahamu na nina mkubali Mimi.
10.Awe Mwanachuo anayejitambua kifikira.
11.Awe Mwananchi wa kawaida aliyefundwa maana ya MME na asiye tapeli Mali za Mme na asiye kubali kurubuniwa.
12. Awe mtu maarufu katika mambo mhimu ninayo yakubali Mimi.
13. Au Awe mtoto wa Barack Obama.
14. Awe Maji ya kunde au Mweupe kimtindo.
15. Walau English Figure na kasura kawepo walau kakulingishia maadui zangu.
16.Asiwe mwanamke yeyote ambaye nimewahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi(Tunaanza upya).
NB: Huu sio utani mtanielewa tu. Mwenye sifa tunawasiliana au na mtafuta mwenyewe kwa namba yangu 0764 134570.
Deogratius Nalimi Kisandu.
27 Desemba 2017.
Angeweka na zake yupo vipi.[emoji44]Inamaana hizi sifa zooote anatakiwa awenazo huyo mwanamke mmoja unaetaka kumuoa ama mi sijaelewa
Angeweka na zake yupo vipi.[emoji44]
Inamaana hizi sifa zooote anatakiwa awenazo huyo mwanamke mmoja unaetaka kumuoa ama mi sijaelewa
The gape between his eye and chick portrays the behavioral traits of the individual.mm kila nikiona post zako huruma hua inaniingia napowafikiria wanafunzi wako deo kisandu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni zipiZangu zinaeleweka.
Umri Huo Bado Unaangaika Na Wanawake Duuuuhhh
Kweri Wanaume Tunatofautiana