Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,418
Juzi ulimuanzishia Uzi huyu jamaaaaaaDeogratius Kisandu kuna jini linakufuatilia Na litakuja kwa style ya mwanamke mrembo, jihadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi ulimuanzishia Uzi huyu jamaaaaaaDeogratius Kisandu kuna jini linakufuatilia Na litakuja kwa style ya mwanamke mrembo, jihadhari
Sifa zako labda naweza niku promote kwa dada yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]SIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU.
1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA.
2. Asiwe mlokole atanichezea akili Bali Mcha Mungu binafsi.
3.Sitaki Mwanamke wa kuletewa au wakupewa.
4. Asiwe mfanyakazi wa Ikulu, atatumika kunizima.
5. Awe Mwanasiasa ninaye mkubali Mimi.
6. Awe Mwanamitindo au MSANII ninaye mkubali Mimi.
7. Awe aliyewahi kushiriki mashindano ya Urembo (Miss Fulani hivi).
8. Awe mwanaharakati wa Maendeleo asiye tapeli kama vile mjasiliamali.
9. Awe Mwandishi au Mtangazaji ninaye mfahamu na nina mkubali Mimi.
10.Awe Mwanachuo anayejitambua kifikira.
11.Awe Mwananchi wa kawaida aliyefundwa maana ya MME na asiye tapeli Mali za Mme na asiye kubali kurubuniwa.
12. Awe mtu maarufu katika mambo mhimu ninayo yakubali Mimi.
13. Au Awe mtoto wa Barack Obama.
14. Awe Maji ya kunde au Mweupe kimtindo.
15. Walau English Figure na kasura kawepo walau kakulingishia maadui zangu.
16.Asiwe mwanamke yeyote ambaye nimewahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi(Tunaanza upya).
NB: Huu sio utani mtanielewa tu. Mwenye sifa tunawasiliana au na mtafuta mwenyewe kwa namba yangu 0764 134570.
Deogratius Nalimi Kisandu.
27 Desemba 2017.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanamke atakubali kuolewa na mwanaume aliyeeingiziwa na kitu kigumu matakoni huko Lushoto Tanga??
Ukisoma nyuzi za Deo 3 tu, na ambazo wachangiaji wametiririka, utajua kama ni kweli "BOGA KUU HUARIBIKIA UKUBWANI!"Angeweka na zake yupo vipi.[emoji44]