Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Tehe tehe tehe eti labda syria

Hahahaha hivi syria ndo kuna wa hivyo jamani au huyu kataka kutuvunja mbavu tu.

Ila JD ni hard working tumpe sifa zake na wale wanaomnanga kwa kukosa mtoto hawako sawa kabisa manake uzazi ana control Mungu mwenyewe si wote wenye watoto walistahili kuwa nao.

Hata kama alifanya yake wakati wa usichana lkn bado si sababu ya kumlaumu ni kuwaombea tu wale ambao bado hawajazawadiwa. Naanza mimi kama JD unapitia humu nakuombea Mungu asikie kilio chako ili nawe siku moja upakate.
 
Hahahahahahaha hivi syria ndo kuna wa hivyo jamani au huyu kataka kutuvunja mbavu tu.

Risasi na mabomu mtindo mmoja ukitoka huna uhakika wa kurudi na shingo yako so akipata "asylum" kwa gharama hizo tajwa kwa kweli mtoto wa kiume ata sign hiyo bond bila kujiuliza!!!
 
Risasi na mabomu mtindo mmoja ukitoka huna uhakika wa kurudi na shingo yako so akipata "asylum" kwa gharama hizo tajwa kwa kweli mtoto wa kiume ata sign hiyo bond bila kujiuliza!!!
Oooh sasa nimeelewa manake nilijaribu kuunganisha dots hazikukubali.
 
Kwa bongo ataonja mboo nyingi mpaka apate huyo amtakae mwisho atajikuta kapitiwa na kila swahiliman
 
shmd65 shukran sana, . ni mapito tu ya kidunia na mitihani yake, usiogope wala kukata tamaa endelea kumuomba Mungu naye hatokutupa. . . . Kaa na mwenzio jadilianeni take all necessary preps and push the button to get going. . . . .

Nakutakia kila la kheri juu ya ujenzi wa familia yako!!!!
Ila be a lady please(the way you write suggest so) achana na u commando

ha ha ha hapana mie sio commando
 
Last edited by a moderator:
Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.

Sipendagi kusoma posts zake hata thead akiiandika naishia kusoma kichwa cha habari na kwenda moja kwa moja kwa wachangiaji. Inasikitisha sana mtu mzima anapoamua kuishi kama taahira wakati yu timamu. Snitch kabisa.
 
Ni kweli kabisa ndoa ni ''sacred union'' unapofanya kwa namna unayotaka wewe basi uwe tayari kwa matokeo....aliamua kujiweka uchi kabisa.

Hii nguo aliyovaa siku ya harusi yake imechangia mikosi katika ndoa yake. nguo gani yakuvaa mbele za watu hiyo.
 
kwa hii statement maana yake anataka mume ambaye anachepuka lakini kwa kiasi
Au hata akichepuka isiwe kwa uwazi kiasi kwamba akapata sifa ya uchepukaji maana kuna vidume vingine kuchepuka ndio kazi pili inayowaweka mjini kiasi kwamba hata mtoto wa miaka 10 anamjua kwa kuchepuka
 
Yeye ni celebrity,its ok kuweka mambo yake hadharani km hampendi kanyweni sumu!....yaani kwa kuwa umeachwa ndio usiongee na watu,ujikunyate saa zote km mjane?!....

Wanaume wale bold ni wakati wenu wa kutupa ndoano,lol...tatizo wanaume especially wa ki Tanzania mkiwa na wake wenye kuwazidi kipato huwa mnajishtukia sijui kwa nini??lol

Anapoteza Muda Wake Bure Tu,nani Aoe Skrepa? Warembo Wote Hawa Eti Ukamrukie Jay Dee Kisa Celebrity,u Celebrity Wake Unamsaidia Nani Na Kwa Lipi?

Atawapata Vitoto Visivyo Na Future Kama Nuhu Mziwanda Vinavyoajiriwa Na Makahaba Kufanya Kazi Ipasavyo Kunako '6 to 6' Kijana Na Akili Zake Huwezi Kumrukia Nungayembe Kama Jay Dee,kwanza Alivunja Ndoa Ya Mwanamke Mwenzake,

kwa Hilo Alidhani Ndoa Yake Na Gadner Ingedumu? Atakuwa Anaolewa Na Kuachika Na Atakoma Kuringa Na Hivi Kizazi Chake Kimeliwa Na Mende Atakoma.
 
kama yeye yupo safi hafanyi yote ambayo asingependa mwenzi wake ayafanye atampata wa kufanana naye.
 
Ni kweli, ambaye anatafuta kuamia Nchi yenye aman! na akifika huku anaweza kukutosa pia!
 
Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
Kaoogeee safishamacho hayo wenzio watakutunzia mzigo kama vidogohivi hueleweeee weraaaaweraaaaaa wapidinnaaaa njoosafisha nyota ya an MPE gold kabisaa awe Gold. Boss
 
Minasema malipo hapahapa duniani jamani!!MNAMKUMBUKA MKE HALISI WA GADNER ALIPOKUWA AKILALAMIKIA NDOA YAKE KUVUNJWA HALI AWAKUWA WAMEPEANA TALAKA!!!MMH JYD NAAMINI THIS TYM HUTOGUSA MUME WA MTU MILELE NAWEWE GADNER HUTAHESHIMU NDOAYAKO KAMAYUPO MWENYEEEWE MRUDIE TU MKUU HUYO NDIO ALITOKA KWA MWA MUNGU!!WANASEMA


MACHOZI YA MWENYE HAKI..............UTAMALIZIA MENYEWE
 
Bila shaka hilo litakua Punga.
Weraaweraaaaa mapunganifukaziiiiiiiii!!!!!!ujaacha kalekamchezo.....ukifika 40. Usikubali wakudonyoe uaminifukazi hatawatoto watakuwawanajiuliza baba saazote uko na pampas
 
Bora tu na yeye awe sifa ambazo hao wanaume wanazitaka!
 
Back
Top Bottom