Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
Yeye ni celebrity,its ok kuweka mambo yake hadharani km hampendi kanyweni sumu!....yaani kwa kuwa umeachwa ndio usiongee na watu,ujikunyate saa zote km mjane?!....
Wanaume wale bold ni wakati wenu wa kutupa ndoano,lol...tatizo wanaume especially wa ki Tanzania mkiwa na wake wenye kuwazidi kipato huwa mnajishtukia sijui kwa nini??lol