Dada yangu Mtu wa hivyo labda Syria!
Tehe tehe tehe eti labda syria
Hahahahahahaha hivi syria ndo kuna wa hivyo jamani au huyu kataka kutuvunja mbavu tu.
Oooh sasa nimeelewa manake nilijaribu kuunganisha dots hazikukubali.Risasi na mabomu mtindo mmoja ukitoka huna uhakika wa kurudi na shingo yako so akipata "asylum" kwa gharama hizo tajwa kwa kweli mtoto wa kiume ata sign hiyo bond bila kujiuliza!!!
shmd65 shukran sana, . ni mapito tu ya kidunia na mitihani yake, usiogope wala kukata tamaa endelea kumuomba Mungu naye hatokutupa. . . . Kaa na mwenzio jadilianeni take all necessary preps and push the button to get going. . . . .
Nakutakia kila la kheri juu ya ujenzi wa familia yako!!!!
Ila be a lady please(the way you write suggest so) achana na u commando
mkuu hebu tuambie amempendelea nn ?
Shida shida shida sana, Dada yetu bado anampenda kaka yetu, ila asijute sana akumbuke 2001/2 alimnyang`anya mwenzake mume
Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
Hii nguo aliyovaa siku ya harusi yake imechangia mikosi katika ndoa yake. nguo gani yakuvaa mbele za watu hiyo.
Au hata akichepuka isiwe kwa uwazi kiasi kwamba akapata sifa ya uchepukaji maana kuna vidume vingine kuchepuka ndio kazi pili inayowaweka mjini kiasi kwamba hata mtoto wa miaka 10 anamjua kwa kuchepukakwa hii statement maana yake anataka mume ambaye anachepuka lakini kwa kiasi
Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
Yeye ni celebrity,its ok kuweka mambo yake hadharani km hampendi kanyweni sumu!....yaani kwa kuwa umeachwa ndio usiongee na watu,ujikunyate saa zote km mjane?!....
Wanaume wale bold ni wakati wenu wa kutupa ndoano,lol...tatizo wanaume especially wa ki Tanzania mkiwa na wake wenye kuwazidi kipato huwa mnajishtukia sijui kwa nini??lol
Kaoogeee safishamacho hayo wenzio watakutunzia mzigo kama vidogohivi hueleweeee weraaaaweraaaaaa wapidinnaaaa njoosafisha nyota ya an MPE gold kabisaa awe Gold. BossIvi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
ha ha ha hapana mie sio commando
Weraaweraaaaa mapunganifukaziiiiiiiii!!!!!!ujaacha kalekamchezo.....ukifika 40. Usikubali wakudonyoe uaminifukazi hatawatoto watakuwawanajiuliza baba saazote uko na pampasBila shaka hilo litakua Punga.