Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa


Hahahaaa kina G utawajua tu! tumpe intro mkuu!!! usifure tu
 
Kumbe hata mtu akiwa maarufu na pesa kiasi gani
sio rahisi kumpata wa kumfariji

hata wa kumdanganya tu sio wengi kiasi hiko....
 
Kama vp amuumbe yeye mwenyewe huyo mwanaume aliyekamilika.
 
Atafute tu viserengeti,atulie zake vimkaze apunguze stress akitaka mume atasubiri sana
 
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.

Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima.
 

Ningekuwa na number zake ningetumia muda huu kumfariji.Nadhani ningejilia kiulaini.
 
Alikuwa mvumilivu sana kwa mwanamke kama huyu anayebwatuka hivi kwenye public je huko ndani ilikuwaje?

Aisee, i dont get a photo..! Atakua alikua anapayuka kwa kejeli na dharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…