Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Honestly, Huyu mwanamke simpendi and ananichefuaga sanaaa. Its easy to see and tell pamoja na hela, mali na mafanikio yake, she a lonely nd depressed b*tch. Yote sabab ya jeuri na dharau zake. U can tell much from someone's tone of speaking (voice) and ways of life.

Ivi anavyo bwata bwata hadharani kuhusu mambo yake ya ndani, anafkiri ni nani anae dhalilika ??? Mambo yenu ya ndani (ndoa) sisi yanatuhusu vp ??

Mi ndio maana nawaambiaga watu, ukiwa mwanaume usije ukakubali hata siku moja mtu akulinganishe na mwanamke ( as in una mambo na tabia za kike). I consider that a very serious offence. Seriously, Huyu dada halijioni lishakua zee, to act a kid ??? #NoHardFeelings .

Hahahaaa kina G utawajua tu! tumpe intro mkuu!!! usifure tu
 
Kumbe hata mtu akiwa maarufu na pesa kiasi gani
sio rahisi kumpata wa kumfariji

hata wa kumdanganya tu sio wengi kiasi hiko....
 
Kama vp amuumbe yeye mwenyewe huyo mwanaume aliyekamilika.
 
Atafute tu viserengeti,atulie zake vimkaze apunguze stress akitaka mume atasubiri sana
 
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.

Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima.
 
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia. Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima

Ningekuwa na number zake ningetumia muda huu kumfariji.Nadhani ningejilia kiulaini.
 
Back
Top Bottom