Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Yeye ni celebrity,its ok kuweka mambo yake hadharani km hampendi kanyweni sumu!....yaani kwa kuwa umeachwa ndio usiongee na watu,ujikunyate saa zote km mjane?!....

Wanaume wale bold ni wakati wenu wa kutupa ndoano,lol...tatizo wanaume especially wa ki Tanzania mkiwa na wake wenye kuwazidi kipato huwa mnajishtukia sijui kwa nini??lol
 

Si ndio kazi ya public sasa kujadili heading zilizowekwa na celebrities kwa njia ya kusifu au kukosoa, sasa we unatakaje watu wanywe sumu??!!!

Ukishasema bold basi masuala ya kujistukia yanakuwa yamekufa kifo asili, na hao bold ukisoma utaona mitazamo yetu humu. . . .

By the way mnajaza ujjinga kwa kumtetea mitandaoni wakati maisha yenu ni contra ina reality!!

Ungeweka hapa maisha ya mmoja wa ex wako ungekuwa unamuunga mkono kivitendo Jestina. . . . .walk the talk #anaconda
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nisome tena ukiwa hujanywa ndovu,uniambie unachonipinga ni nini lol
 
Last edited by a moderator:
ushauri wangu kwa judith wambura ni amwombe MUNGU ampe mume mwema,aliye HOKOKA lakini tofauti na hapo ataliatu.



Mbona unamtakia mabaya mwenzako? Mume aliyeokoka? Ukiwa bado uko hai huwezi okoka, wale wanaojidanganya kuokoka ni wasanii tu na ndiyo wanafiki wakubwa.

Chuguza mienendo yako, utakuwata wengi wao ni wanafiki, walikuwa malaya, vibaka, baada ya kuchoshwa na hizo tabia wamehamua kupumzika na kujidanganya kuokoka ili kurubuni watu.
 

Pia wamekata tamaa y maisha kutwa wako kwa wachungaji wakiombewa wapate waume,huyu dada kuishi n mwanaume ni ngumu labda mkurya mwenzake ndio watawezana kuachwa kunauma sana
 
toka watu wakusifie uandishi huo wa kipuuzi ndio ushafanya sifa,kingereza hujui,kiswahili matatizo
Ningekuwasijui kiswahili ungeandika huu utumbowako ulioandika!!ulijuaje sikijui kabla hujaelewa!!heshimuwaumezenumnaadabu kaeninawaumezenumuwape mahitajiyao avhananapdidy!!!motomwingine!!somanimeingia lini nahizosifanizipateleo!!shame n u
 
Moneystunna!!!kamahujaolewa nashauriii usikubali kuolewa!!kamaunawezakukasirikka namtu usiemjua!!walakumwona!!mumeo je utamweza!!wazo tu
 
Mtaanza kutuongezea peji zakina ladyjd talakatalaka!
 
Haya maneno angeyasema Lulu ama hamisa saa hivi angekuwa fungate Paris baada ya ndoa ila huyu kinachopendwa kwake ni pesa zake hlf analeta nyodo mara ooh asinitegemee, mara anihudumie kiuchumi,

Mara nikikohoa mara ooh blah blah ila namshauri aokoke atampata ama aende huko usukumani atafute serenget aje amfuge
 
Anamtukana G. matusi matusi makubwa sana..

Ivi hajui wanaume we are one. Ni mwanaume gani atampata ilhali anatudhalilishia mwenzetu.

Jay dee u r done. Nunua tu midoli ya kutosha
JD ni mwanamke mpumbavu sana na gadner atakuwa alivumilia mengi sana. hana hekima na ni mshari sana.

Kama wameachana na gadner kwanini anamuanika? kwa hizo sifa anazozisema ina mana kwamba gadner ndio alikuwa nazo na amezitaja hizo strategically ili kumuumiza gadner moyo.

Vita vya maneno, kuoana muoane kuttombana mtommbane nyie halafu machungu mje myamwage huku mtaani, si matope hayo? shukuru una hela hata za kumringishia gadner kuwa alikuwa tegemezi.
 
We ni mtoto wa chekechea vidudu siwez bishana na wewe
Polejamani kwanitunabishana!!!ungesema tukamaumeolewa nampa pole nayeye awe nauvumilivu kama Gardner asikatetamaa kama Gardner
 
Mmh yaani mwanaume mwenzangu anadhalilishwa hivihivi hii ndo tabu yakuoa anaejifanya star alafu akawa na vijisent mwisho wa siku ndokama hivi Shenz huyu dada.
 
 
Tatizo la Jdee ni hana uanamke!,

In short ni dume kuanzia sura na tabia!. Mi namshangaa eti anashoboka hasa kwenye likipindi lake lile!. Mtu mwenyewe maskini miguu tegetege, kengeza!, tindi hilooo!, usafiri zero!, mbichwa yalaaaa kama wangu huku!.

Sema ana sauti nzuri ambayo kama ukikutana nae gizani mashallah!. Kiukweli Gardner alimpa sana heshima mwanamke yule ingawa yeye hakujua!. Jdeee yaani kuanzia leo ujijue huna kitu!.

Halafu nasikia kiharage chake eti kilishachumwa so dada ni ladhaless!
 

you made me cry pole for the loss
ive one i dont know if i can still make it to have another one,i dont want to imagine how i will feel to loose him as we are not permanently bound to have them
 
Moneystunna!!!kamahujaolewa nashauriii usikubali kuolewa!!kamaunawezakukasirikka namtu usiemjua!!walakumwona!!mumeo je utamweza!!wazo tu

Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…