Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Akikubali kuvaa hijab na kutamka shahada na kuacha mziki nita muoa na kumtunza .
Kazi ziko nyingi za hadhi ya mwanamke atafanya
 
Yeye ameweka mezani sifa gani..alafu ataweza ishi na good boy..maana hao watu wamezoea bad boy..akikaa na good boy kidogo atasema anaboa
 
Mwanaume mwenye hizo sifa tupo kama Mimi lakini kwenda kwa Jide hapana angekuwa ni Lulu ningeenda.
 

Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?


Honestly, Huyu mwanamke simpendi and ananichefuaga sanaaa. Its easy to see and tell pamoja na hela, mali na mafanikio yake, she a lonely nd depressed b*tch. Yote sabab ya jeuri na dharau zake. U can tell much from someone's tone of speaking (voice) and ways of life.
Ivi anavyo bwata bwata hadharani kuhusu mambo yake ya ndani, anafkiri ni nani anae dhalilika ??? Mambo yenu ya ndani (ndoa) sisi yanatuhusu vp ?? Mi ndio maana nawaambiaga watu, ukiwa mwanaume usije ukakubali hata siku moja mtu akulinganishe na mwanamke ( as in una mambo na tabia za kike). I consider that a very serious offence. Seriously, Huyu dada halijioni lishakua zee, to act a kid ??? #NoHardFeelings .
 

mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

jibu :anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.asiechepuka hovyo (milupo kila kona ),asiwe tegemezi.hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,wala kulala nje kwa machangu wa kinondoni au popote pale.nikikohoa tu awepo hapo..

kwa mtazamo wako anaweza kupata mwanaume asiye na mapungufu?
jd sinaugunduzisana ila hutokosa asienamapungufu madogo. Kama mimii!!kwakuwa najiamini mwwnaume mwenye hizo unazotaka ni mchaga wa kimarangu kwqnza atutegemei wanawake pili gari kamalako utqnikuta naendesha kwenye misiba tu hatakamw lina full tanki!!!ilakingine nawewee kuwekamatangazo yakushikwa shikwa sitaki wamarangu niwazuri tabia ilamashetani wa wivu hasa kwa wakezao
 
jd sinaugunduzisana ila hutokosa asienamapungufu madogo. Kama mimii!!kwakuwa najiamini mwwnaume mwenye hizo unazotaka ni mchaga wa kimarangu kwqnza atutegemei wanawake pili gari kamalako utqnikuta naendesha kwenye misiba tu hatakamw lina full tanki!!!ilakingine nawewee kuwekamatangazo yakushikwa shikwa sitaki wamarangu niwazuri tabia ilamashetani wa wivu hasa kwa wakezao

toka watu wakusifie uandishi huo wa kipuuzi ndio ushafanya sifa,kingereza hujui,kiswahili matatizo
 
Point yake haiko clear

Amepanic, nahisi kwa sasahivi yupo peke yake, hana wa kumshauri kwa upande wa kike au kiume, alistahili kuwa kimya kabisa,
Namhurumia anaweza jikuta mauzo ya nyimbo zake ikashuka,hata business zake zingine zikapoteza mvuto
 
Lazima atambue mali bila raha na Amani ya moyo ni bure!Atahaha sana,Kwani hawezi jishusha ktk familia mume ni kichwa na yeye anaamini yeye ni kichwa labda ajioe mwenyewe hatapata mume anayemchora mchana
 
Amepanic, nahisi kwa sasahivi yupo peke yake, hana wa kumshauri kwa upande wa kike au kiume, alistahili kuwa kimya kabisa,
Namhurumia anaweza jikuta mauzo ya nyimbo zake ikashuka,hata business zake zingine zikapoteza mvuto
Kwani hana baba na mama mkuu.
 
Kwani hana baba na mama mkuu.

Watu wa namna hii wanaweza kuwa wanaogopwa na wazazi hata kama wapo? In fact hata mtu mwenye malezi ya wastani hawezi ongea maneno ya namna hii kwenye media, nadhani wazazi hawawezi saidia
 
mchepuko lazima mboga moja kila siku inakinai.navmwanaume asiye na mchepuko mmnh ajitathimini
 
Huyu dada analokosea ni kuanika Mapungufu ya ex wake kwenye media. Hata wangekuwa wametofautiana mtu mstaarabu asingefanya hivyo. Kwahiyo wanaume wenye nia wanaogopa kwamba siku wakiwa na tofauti atakimbilia kwenye media.

Halafu inaonyesha huyu dada matusi ni jadi yake. Alituhumiwa kutembea na meneja wake huko South Africa miaka ya 2002 akatoa matusi ya nguoni. Akatangaza kutoendelea na mziki wa stage na kwamba angeimba na kuuza CD bila yeye kuwa stage. Haikuoita muda akarudi stage. Inaonekana huwa hapimi mambo ya kuongea.

Ukichunguza nyimbo zake hata kabla hajaolewa zote zinahusu mwanamke kutendwa, na wanaume wasivyo waaminifu. Hilo nalo ni baya kisaikolojia. Mara nyingi mtu hupata unalofikiria maea kwa mara. Kwahiyo hili lililomtokea silishanngai.

Anasema sifa za mwaume asiyemtegemea na atakayeweza provide kila anachohitaji. Yeye hasemi atafamfanyia nini mwanaume. Hili ni tatizo nimeliona kwa wadada wengi wana mategemeo ya kupokea ili wao hawafukirii kwamba nao wana role ya ku-play kama wanawake.

Huyu dada nilimpenda ila anakokwenda siko.
 
Back
Top Bottom