Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Anamtukana G. matusi matusi makubwa sana..

Ivi hajui wanaume we are one. Ni mwanaume gani atampata ilhali anatudhalilishia mwenzetu.

Jay dee u r done. Nunua tu midoli ya kutosha

Kwahiyo na we ni marioo.mbona sifa alizozitaja niza kawaida kwa mwanaume anaye jitambua.na wengi wenye ndoa zao wana sifa hizo.so kama wewe auna ujue unatatizo binafsi.
 
Sipendagi kusoma posts zake hata thead akiiandika naishia kusoma kichwa cha habari na kwenda moja kwa moja kwa wachangiaji. Inasikitisha sana mtu mzima anapoamua kuishi kama taahira wakati yu timamu. Snitch kabisa.

Hamna kitu kinakera kama jitu zima linafanya mambo ya kitoto na ya kishamba huku likidhani kuna mtu anakua entertained au kumsifia kwa ujinga na ulimbukeni wake kumbe watu in reality wanaliona bonge moja la fal*. Alaf akirekebishwa anavimba kichwa upumb*vu anaofanya. This guy needs to grow up.
 

Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?

labda kama yeye ni malaika, eti akikohoa tu mwanaume awepo, so mwanaume hata kama yupo kazini aache kila kitu arudi nyumbani kubembeleza k ya jide
to hell
 
Kwahiyo na we ni marioo.mbona sifa alizozitaja niza kawaida kwa mwanaume anaye jitambua.na wengi wenye ndoa zao wana sifa hizo.so kama wewe auna ujue unatatizo binafsi.

point ya marii kwa gadna inaingiaje? gadna anafanya kazi na ana kipato why jide is creating such stupid lies against him? au gadna alikua analala tu nyumbani anasubiri jide ahangaike alate?
 
Mi naweza siamesema hatakama si tajiri ila tu asimtegemee hilo wwngi tunaweza kwani kwa asili si wanaume tumeumbwa kutegemeza zaidi kuliko kutegemea, tatazo ni yeye anaweza kuwa kama mwanamke? kwa vile yuko kama kidume tu

you got a poin, mimi nadhani tatizo la jide kimahusiano, liko kwake yeye, kwa sababu ni mtu asieweza kujishusha na kuplay nafasi yake kama mwanamke, instead anataka mwanaume ajishushe, jide sio mwepesi kusamehe, na kitu kikubwa kinachodumisha mahusiano ni msamaha, mbali na hivyo jide anatakiwa kujua kwamba mwanaume ni mwanaume tu hata kama umemzidi kipato, umri, urefu, au umaarufu lakini nafasi yake kama mume kwenye nyumba inatakiwa iheshimiwe, sasa yeye anachukua umaarufu na pesa anauingiza kwenye ndoa, mwanaume gani atawezaaaa?????????
 
Anapoteza Muda Wake Bure Tu,nani Aoe Skrepa? Warembo Wote Hawa Eti Ukamrukie Jay Dee Kisa Celebrity,u Celebrity Wake Unamsaidia Nani Na Kwa Lipi?

Atawapata Vitoto Visivyo Na Future Kama Nuhu Mziwanda Vinavyoajiriwa Na Makahaba Kufanya Kazi Ipasavyo Kunako '6 to 6' Kijana Na Akili Zake Huwezi Kumrukia Nungayembe Kama Jay Dee,kwanza Alivunja Ndoa Ya Mwanamke Mwenzake,

kwa Hilo Alidhani Ndoa Yake Na Gadner Ingedumu? Atakuwa Anaolewa Na Kuachika Na Atakoma Kuringa Na Hivi Kizazi Chake Kimeliwa Na Mende Atakoma.


Acha lugha chafu mpuuzi wewe,ukoo wenu wote wameolewa na wana watoto???kama ni screpa mbona garner alimuweka ndani?
 
Acha lugha chafu mpuuzi wewe,ukoo wenu wote wameolewa na wana watoto???kama ni screpa mbona garner alimuweka ndani?

Punguza hasira. Dada yako ana mdomo mchafu.
 
Nikikohoa tu awepo hapo..
Mnh! Yaani kama sipo my wife wangu Jide ananivutia uzi tu"we chige, upo wapi? kuja hapa...!" mi mbio, ole wangu nichelewe! Kama sipo mbali sana, my wifey wangu Jide Commando Binti Machozi anapiga filimbi tu, pyeeeee... mi nduki, kuitikia wito! Wallah n'shaghairi manake hapa kadi lazima... ukimzingua mara ya kwanza, pyeee FY2.jpg PELEKA PIZA KWA MTEJAFY3.jpgukichelewa tu, pyeee pyeee PYEEEEEEE!!FY5.jpg
 
Ni kweli kabisa ndoa ni ''sacred union'' unapofanya kwa namna unayotaka wewe basi uwe tayari kwa matokeo....aliamua kujiweka uchi kabisa.

Ndio maana baadhi ya makanisa yanakataa kufungisha ndoa ikiwa wanandoa watavaa mavazi yakuonyesha miili yao. mavazi mengine aibu hata mbele ya wazazi.
 
Hahahaha hivi syria ndo kuna wa hivyo jamani au huyu kataka kutuvunja mbavu tu.

Ila JD ni hard working tumpe sifa zake na wale wanaomnanga kwa kukosa mtoto hawako sawa kabisa manake uzazi ana control Mungu mwenyewe si wote wenye watoto walistahili kuwa nao.

Hata kama alifanya yake wakati wa usichana lkn bado si sababu ya kumlaumu ni kuwaombea tu wale ambao bado hawajazawadiwa. Naanza mimi kama JD unapitia humu nakuombea Mungu asikie kilio chako ili nawe siku moja upakate.

Kabisa.....mi mwenyewe ni timu JD....i just like her
 
minasema malipo hapahapa duniani jamani!!mnamkumbuka mke halisi wa gadner alipokuwa akilalamikia ndoa yake kuvunjwa hali awakuwa wamepeana talaka!!!mmh jyd naamini this tym hutogusa mume wa mtu milele nawewe gadner hutaheshimu ndoayako kamayupo mwenyeeewe mrudie tu mkuu huyo ndio alitoka kwa mwa mungu!!wanasema


machozi ya mwenye haki..............utamalizia menyewe

hayapotei bure
 
Hahahaha jazba zote za nn mkuu. Ndio ww nini ?? Ila ndio hvyo mtawachwa sanaa mwaka huu....empty vessels make tha most noise. Pole sanaaa. I'm Out. Lolz

Noooh!! its you a blabber mouth we should feel sorry for! Real Men don't talk some umbea !! Real men talk about most important issues ........!!!
 
you got a poin, mimi nadhani tatizo la jide kimahusiano, liko kwake yeye, kwa sababu ni mtu asieweza kujishusha na kuplay nafasi yake kama mwanamke, instead anataka mwanaume ajishushe, jide sio mwepesi kusamehe, na kitu kikubwa kinachodumisha mahusiano ni msamaha, mbali na hivyo jide anatakiwa kujua kwamba mwanaume ni mwanaume tu hata kama umemzidi kipato, umri, urefu, au umaarufu lakini nafasi yake kama mume kwenye nyumba inatakiwa iheshimiwe, sasa yeye anachukua umaarufu na pesa anauingiza kwenye ndoa, mwanaume gani atawezaaaa?????????

Hakuna mwanaume anaejitambua kua yeye ni mwanaume ajishushe kiasi hicho,tukiachilia mbali vitabu vya dini zote vikimtaka mwanamke ajinyenyekeshe kwa mwanaume hata hali ya kawaida tu ya maumbile inatutaka kili mtu aichukue nafasi yake. Kwa hivyo kila mtu akiutimiza wajibu wake mke asimame kama mke,mme asimame kama mme hakuna ndoa au mahusiano yangevunjika.
 
Back
Top Bottom