Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Noooh!! its you a blabber mouth we should feel sorry for! Real Men don't talk some umbea !! Real men talk about most important issues ........!!!

Yeaaah yeaaah yeaaaah basi wanaume wote wanaomponda JD humu kwa ujinga wake wambea na wana mambo ya kike....ukizingua watu lazma tukuweke sawa, ww na jide wako wote vik*pu tu..i kno imekutoch nd i really dnt give a f*ck u kno. Just hang urself....
 
Woooo woooo! Ouch...! I guess your birth certificate is an apology from the condom factory!!
 
Jide anaweza nunua chochote,ila apime kwanza ajijue na amjue atakae miliki k yake.
 
Labda apate malaika,ila kwa mwanaume anaejitambua hawezi,'eti nikikohoa awepo'kama ni mtafutaji atatafuta saa ngapi?wadada wakipata hela hujisahau sana na kujifanya vidumejike.

Mume wa Joyce Kiria ampatie rafiki zake.
 
Pia wamekata tamaa y maisha kutwa wako kwa wachungaji wakiombewa wapate waume,huyu dada kuishi n mwanaume ni ngumu labda mkurya mwenzake ndio watawezana kuachwa kunauma sana

Ni usanii tu, mtu utaokokaje wakati bado yu hai? Hivi wanaelewa maana ya kuokoka au wako lost in translation? Kwenye biblia Bwana Yesu alisema...."siku ya mwisho nitakuja kuwaokoa wazima na wafu..." Na mtu bado yuko hai anajidanganya kaokoka kweli?
 
Ina maana wa mwanzo ndo zilikuwa tabia zake!!!
 
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?

Sura mbya mashart kbao
 
labda ajioe yeye mwenyewe ndo atawin koz umama umeshamkimbia anautafuta ubibi sasa.
 
you got a poin, mimi nadhani tatizo la jide kimahusiano, liko kwake yeye, kwa sababu ni mtu asieweza kujishusha na kuplay nafasi yake kama mwanamke, instead anataka mwanaume ajishushe, jide sio mwepesi kusamehe, na kitu kikubwa kinachodumisha mahusiano ni msamaha, mbali na hivyo jide anatakiwa kujua kwamba mwanaume ni mwanaume tu hata kama umemzidi kipato, umri, urefu, au umaarufu lakini nafasi yake kama mume kwenye nyumba inatakiwa iheshimiwe, sasa yeye anachukua umaarufu na pesa anauingiza kwenye ndoa, mwanaume gani atawezaaaa?????????

we bado unaishi karne ya 18
 
Back
Top Bottom