Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
......umenikumbusha kitambo kidogo yale majarida ya zamani moja likiitwa BONGO(uhondo mtupu) na lingine TABASAMU(jarida la wajanja), Sasa Toledo la mwaka 96 lilitoka na tittle ya 'Sakata Uvunguni' ilikuja na picha kama hiyo ingawa yenyewe ilikuwa ya michoro....Sifa za mwanaume rijali
Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini) Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande Lazima ajue kubeba majukumu Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake Lazima awe na msimamo Havai vitu wanavyovaa wanawake Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake Hakai karibu na kundi la wanawake Lazima awe ni mtafutaji/mpambanaji Haishi kwenye nyumba ya mwanamke Haendi kumtembelea au kulala kwa mpenzi wake kwenye nyumba / chumba asichokilipia kodi; ata kama ni hotelini, hawezi kukaa kwenye chumba kilicholipiwa na mwanamke.
View attachment 2534071
Si kweliMwanaume rijali Haendi kwa mpalange
Ukweli ni upiSi kweli
Kule kuingia muhimuUkweli ni upi
Mbona hizo sifa ulizotaja ni za malaikaSifa za mwanaume rijali
Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini) Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande Lazima ajue kubeba majukumu Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake Lazima awe na msimamo Havai vitu wanavyovaa wanawake Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake Hakai karibu na kundi la wanawake Lazima awe ni mtafutaji/mpambanaji Haishi kwenye nyumba ya mwanamke Haendi kumtembelea au kulala kwa mpenzi wake kwenye nyumba / chumba asichokilipia kodi; ata kama ni hotelini, hawezi kukaa kwenye chumba kilicholipiwa na mwanamke.
View attachment 2534071
No. Sifa ya mwanaume rijali, ni Aonekane na jamii kuwa MWANAUME. Vigezo vya mleta mada vyahusika. Ukimuuliza mwanamke anaweza kudanganya kwa kuwa anaongwa pesa.Sifa ya mwanaume rijali aulizwe mwanamke...
Je, wewe mtoa mada ni mwanamke?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hizo sifa ulizotaja ni za malaika
Nilitaka kuchangia hivyo hivyo ,, umetisha mwambaSifa ya mwanaume rijali aulizwe mwanamke...
Je, wewe mtoa mada ni mwanamke?