Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sifa za mwanaume rijali
- Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini)
- Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande
- Lazima ajue kubeba majukumu
- Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake
- Lazima awe na msimamo
- Havai vitu wanavyovaa wanawake
- Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake
- Hakai karibu na kundi la wanawake
- Lazima awe ni mtafutaji/mpambanaji
- Haishi kwenye nyumba ya mwanamke
- Haendi kumtembelea au kulala kwa mpenzi wake kwenye nyumba / chumba asichokilipia kodi; ata kama ni hotelini, hawezi kukaa kwenye chumba kilicholipiwa na mwanamke.