Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kwamba wapika chapati hawafai😂Hapiki chapati
havai waka kumiliki vitu vya pink
Halii wala hapanick
Hana mziki wa zuchu kwenye device zake
Hapost wala kuview status
Hana madharau
Hasemi "khee" au "lol"
Macho mbele mita 100[emoji41] bila miwani[emoji2955]