Sifa za mwanaume

Kama hamzitaki mimba tumieni kinga. Huwa sielewi kauli ya kutegeshewa mimba ilhali mtu kala kavu akiambiwa habari za mimba anang'aka kategeshewa.
 
Sifa za mwanaume ajue kutembeza mkong'oto wa kutosha kunako 6×6 na kuwajibika kiuanamume ndani ya familia km kusomesha watoto, kufanya familia inapishana chooni, kumpendezesha mkewe, kufanya familia yake iishi maishi bora na yenye furaha, n.k hizo zingine mbwembwe tu,
 
Well said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…